Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo

Srerikali ya Tanzania ni kama mtoto mdogo aliyepewa credit card kwa mara ya kwanza. Mikopo iliyochukuliwa na serikali katika miaka miwili hii haijulikani imefanya nini la maana zaidi ya kuongezeka wingi wa chawa wanaodai "Mama anaupiga mwingi!"
 
Ni HAKI yake KIKATIBA
 
Hando sio Mchumi. Kwa hiyo statement yake haiwezi kuchukuliwa kwa uzito wowote. Kwanza, wachumi wanatuambia threshold ya deni kuhimilika ni asilimia 70 ya GDP. Data zinasema Tanzania tuko takriban asilimia 41. Sasa tumuamini Hando au Consensus ya Wachumi?

Miaka ya hivi karibuni, tulitunga Sheria kwamba waandishi wa habari wawe na elimu angalau ya Diploma. Nadhani ilikuwa ni makosa. Waandishi wa habari ni wataalamu wa Uchumi, Fedha, Science, Medicine, History. Kuwa na degree ya uandishi wa habari haitoshi kukufanya mwandishi Bora au mtaalamu.

Jambo kubwa sana kwenye uandishi wa habari ni ku balance story. Lakini watu wote waliosoma chuo kikuu wamesoma Somo la 'research methods'. Hilo Somo linafundisha ku balance (ambayo, kwa kweli, ni common sense) na mambo mengi ya ubora wa andiko lolote. Kwa hiyo, kuwa mwandishi wa habari, haikufanyi kuwa mahiri katika maeneo mengine kama Uchumi Na Science au History!

Kwa hiyo waandishi wasio wataalamu kwenye maeneo mengine, hatuwezi kuwachukulia serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…