Hujachelewa...muda unao.Nimempenda bure..
Natamani ningekuwa yeye..
Haaaaa Nifah mimi mwisho nafanya kitu roho inapenda.eti unahangaika kumfanyia mtu ...kujipendekeza hakuna hapa.upendo ntakupa tu ila moyo wangu huwezi kuupelekesha!Aiseeee kumbe tupo wengi eeeh?
Kwa lugha nyepesi tu sisi sio wanafiki.
Period
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Heheeee huu uchokozi ujue?
Zimefika mama,bila shaka.
Inategemea na kosa...kama nimekosea kweli hua naomba msamaha tena wa dhati kabisa.Hahahaaaaa!!!
Yaani uniletee uduwanzi wa kujinunisha utegemee nikubembeleze, we nuna tu at yo own risk, ukimaliza nipe taarifa.
Na ninaomba mara moja ule wa kumaanisha, ila hii ya from no whr eti unajinunisha, kiruuuuu!!!Inategemea na kosa...kama nimekosea kweli hua naomba msamaha tena wa dhati kabisa.
Ni juu yako kusamehe au kuacha.
Umenikumbusha kuna kipindi fulani tulitofautiana na mtu.Na ninaomba mara moja ule wa kumaanisha, ila hii ya from no whr eti unajinunisha, kiruuuuu!!!
Akinuna unampa muda mzuri ajinunishe weee, akichoka akutafute, akiamua kusepa pia poa tu, maisha yenyewe ya kukaa tunabembelezana na watu wazima wenye ndevu tatu yako wapi!!Umenikumbusha kuna kipindi fulani tulitofautiana na mtu.
Daima sipendi kulazimishwa...sasa yeye akawa ananilazimisha na mimi nikabaki na msomamo wangu.
Akanuna kama wiki 2...mimi kimyaaaa!
Mbona alinitafuta?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muda kidogo nilikuwaga kajingaaaa.Akinuna unampa muda mzuri ajinunishe weee, akichoka akutafute, akiamua kusepa pia poa tu, maisha yenyewe ya kukaa tunabembelezana na watu wazima wenye ndevu tatu yako wapi!!
Wanajichetuaga tu eti oooh wanawake wasumbufuu, kumbe wanapenda, ukikaa kimya utasikia mbona kimya?Muda kidogo nilikuwaga kajingaaaa.
Full kunyenyekea na kujilizaliza...
Siku hizi nimebadilika na sirudii tena ule ujinga.
Halafu nimegundua kitu,wanaume nao wanapenda tension zetu.
Ukimkaushia anaumiaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Laptop mfupa unaelekea kumshinda fisi, paka wa mama utauweza?Huyo nipe mm mkuu namuoa siku hiyohiyo,
Haaa kama dem wako yupo humu na kasoma hii comment yako [emoji121] unalooo! Atasitisha huduma umemwita shankupe!Ha ha ha,mimi ndo huwa nawapenda hao mkuu.sio hawa wa uswazi wana gubu hatari.huyo yuko straight and clear na ni muwazi .pia hana unafiki kama hawa mashankupe wengine wa mjini.
Mbona mi bashasha ninazo?Mkuu ! Huyo demu anavuta bangi ! Kweli tena... ! Wavuta bangi ndivyo walivyo katika mahusiano.. ! Huwa wanakosa bashasha kabisaaa ! Hawanaga interests wala nini ! Mtu akuwa amelizika kwa kila kitu..!
Mimi niliambiwa...yani wewe kila kitu kwako sawa tu.Wanajichetuaga tu eti oooh wanawake wasumbufuu, kumbe wanapenda, ukikaa kimya utasikia mbona kimya?
Mfyuuuu!!
Duuuuh!Kumbe unachoma?Mbona mi bashasha ninazo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwamba anataka tu huo muwa basi ila wakati mwingine mshikaji namuona kama Le Mutuz le mubabaz yaani ile kutaka kubembelezwa yale mapenzi ya vitoto vidogo wakati ye yuko 40+Kuna watu wanamsifia huyo dada but ukweli ni kwamba jiongeze. Kwake ukiwepo usipokuwepo hupungukiwi chochote.
Na hiyo ni hatari.
Mkuu mbona hiyo issue ya mwezetu na mapenzi wake mda si mrefu nimeisikia mawingu Fm dada mmoja anaitwa Diva ameisoma kama ilivyo au jamaa kaifikisha huko??Duuuuh!Kumbe unachoma?
Tufanye sijaona hii mama
[emoji12] [emoji126] [emoji126] [emoji126]