Haniulizi kwa lolote

Haniulizi kwa lolote

Aiseeee kumbe tupo wengi eeeh?
Kwa lugha nyepesi tu sisi sio wanafiki.
Period
Haaaaa Nifah mimi mwisho nafanya kitu roho inapenda.eti unahangaika kumfanyia mtu ...kujipendekeza hakuna hapa.upendo ntakupa tu ila moyo wangu huwezi kuupelekesha!
 
Huyo mwanamke asome alama za nyakati

mwanamke kati ya miaka 30 -40,huingia kwenye mahusianao ili tu wapate mtu wa kukaa nao na kuwastili ili wajulikane kama wana mwanamme na wengi wao hawana real love kama mabinti wabichi kabisaa

na mapenzi hayo ya kubembelezana kama unavyotaka eti unamjaribu kama atakutafuta yeye huko anajua Nina mwanaume basii, sijui baby nimekumiss, akubembeleze, yeye hayo ashayafanya kweny umri wake wa miaka 18-20 hukoo huku hiyoo hakunaaa, na nahsi ashapoteza hama ya kufanya mapenzii kabisa that's she don't care anything

eti unajaribu kuJIBEBISHA uone atafanyajee , unajaribu kutomtafutaa, unamwambia apikee wakati yuko pale kwa ajiri ya kujulikana kama ana mwanaumee

sio kosa lake lakini sababuu wanawake wengi wa umri huoo automat huwa hivyoo, jaribu kumuomba mtoke out uone jibu lakes
 
Hahahaaaaa!!!
Yaani uniletee uduwanzi wa kujinunisha utegemee nikubembeleze, we nuna tu at yo own risk, ukimaliza nipe taarifa.
Inategemea na kosa...kama nimekosea kweli hua naomba msamaha tena wa dhati kabisa.
Ni juu yake kusamehe au kuacha.
 
Inategemea na kosa...kama nimekosea kweli hua naomba msamaha tena wa dhati kabisa.
Ni juu yako kusamehe au kuacha.
Na ninaomba mara moja ule wa kumaanisha, ila hii ya from no whr eti unajinunisha, kiruuuuu!!!
 
Na ninaomba mara moja ule wa kumaanisha, ila hii ya from no whr eti unajinunisha, kiruuuuu!!!
Umenikumbusha kuna kipindi fulani tulitofautiana na mtu.
Daima sipendi kulazimishwa...sasa yeye akawa ananilazimisha na mimi nikabaki na msomamo wangu.
Akanuna kama wiki 2...mimi kimyaaaa!
Mbona alinitafuta?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Akinuna unampa muda mzuri ajinunishe weee, akichoka akutafute, akiamua kusepa pia poa tu, maisha yenyewe ya kukaa tunabembelezana na watu wazima wenye ndevu tatu yako wapi!!
 
Nimempenda mke wako mtarajiwa anatabia za western ningempata huyo ningeishi miaka 100+..
Mvumilie tu
 
Akinuna unampa muda mzuri ajinunishe weee, akichoka akutafute, akiamua kusepa pia poa tu, maisha yenyewe ya kukaa tunabembelezana na watu wazima wenye ndevu tatu yako wapi!!
Muda kidogo nilikuwaga kajingaaaa.
Full kunyenyekea na kujilizaliza...
Siku hizi nimebadilika na sirudii tena ule ujinga.

Halafu nimegundua kitu,wanaume nao wanapenda tension zetu.
Ukimkaushia anaumiaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Muda kidogo nilikuwaga kajingaaaa.
Full kunyenyekea na kujilizaliza...
Siku hizi nimebadilika na sirudii tena ule ujinga.

Halafu nimegundua kitu,wanaume nao wanapenda tension zetu.
Ukimkaushia anaumiaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanajichetuaga tu eti oooh wanawake wasumbufuu, kumbe wanapenda, ukikaa kimya utasikia mbona kimya?
Mfyuuuu!!
 
We jamaa umenifurahisha! Kwa hiyo unataka mapenzi kama ya simba na yanga? wanavyogombana ndio club zinaendelea wakiacha kulumbana club zinakufa!
 
Ha ha ha,mimi ndo huwa nawapenda hao mkuu.sio hawa wa uswazi wana gubu hatari.huyo yuko straight and clear na ni muwazi .pia hana unafiki kama hawa mashankupe wengine wa mjini.
Haaa kama dem wako yupo humu na kasoma hii comment yako [emoji121] unalooo! Atasitisha huduma umemwita shankupe!
 
Mkuu ! Huyo demu anavuta bangi ! Kweli tena... ! Wavuta bangi ndivyo walivyo katika mahusiano.. ! Huwa wanakosa bashasha kabisaaa ! Hawanaga interests wala nini ! Mtu akuwa amelizika kwa kila kitu..!
Mbona mi bashasha ninazo?
 
Wanajichetuaga tu eti oooh wanawake wasumbufuu, kumbe wanapenda, ukikaa kimya utasikia mbona kimya?
Mfyuuuu!!
Mimi niliambiwa...yani wewe kila kitu kwako sawa tu.
Hata huulizi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna watu wanamsifia huyo dada but ukweli ni kwamba jiongeze. Kwake ukiwepo usipokuwepo hupungukiwi chochote.

Na hiyo ni hatari.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwamba anataka tu huo muwa basi ila wakati mwingine mshikaji namuona kama Le Mutuz le mubabaz yaani ile kutaka kubembelezwa yale mapenzi ya vitoto vidogo wakati ye yuko 40+
 
Duuuuh!Kumbe unachoma?
Tufanye sijaona hii mama
[emoji12] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Mkuu mbona hiyo issue ya mwezetu na mapenzi wake mda si mrefu nimeisikia mawingu Fm dada mmoja anaitwa Diva ameisoma kama ilivyo au jamaa kaifikisha huko??
 
Back
Top Bottom