Haniulizi kwa lolote

Haniulizi kwa lolote

Anyenyekewe yeye Mungu bwana!!
Yaani huyu dada nimempenda hadi nimetamani ningekuwa mwanaume.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
nakupa makavu live bila chenga...

1, umetongozwa ukakubali.. tukitongozwa maana yake me ni dereva.
2. jinga wewe unaact kama demu unamletea vituko vituko mambo ya kike.
3, haupo kama mwanaume umelegea legea hata uandishi wako unaonyesha kitu cha paragraph mbili umeandika kumi.

that woman she is controlling frick chukua au acha.

NB: KUWA MWANAUME
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji736]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wife bhana!
Kwanza huyu dada ana economic power inayompa ujasiri flani hivi.
Habembelezi mapenzi.

Pili,amechagua kuishi free stress life,amekupenda kwa akili na sio moyo. Moyo wake kazi yake ni kusukuma damu tu,hataki ujihusishe na mengine.

Tatu mapenzi ni kubembelezana,kama yeye hakubembelezi basi mbembeleze yeye,usijenge kuwa anayetakiwa kubembelezwa ni mwanaume tu.

Mwisho kabisa acha vituko,akichoka ataondoka kweli,ninavyomjua hataniagi...
Ohooo...
 
Mwenzako hajawahi omba hela...ww utaweza??

hahaa.....hapo sasa... atoto umeona

nikirudi kwenye mada huyu dada sio mtu wa mchezo mchezo kama ulivoandika ni kweli, basi huyo anakufaa, yaani hana stress wewe ndo unajipa stress, ndo maana kakwambia tuliza akili ujue unataka nini. kumzidi miaka kumi means ana 33 of which ni mdada ameshakomaa sana anajua mengi na kwa kweli anakuzidi akili na busara za kimaisha. ukizubaa watakuibia wenye akili zao wamwoe. hawa wa kufumania leo yuko na fulani kesho fulani ni pasua kichwa, au wenye unyenyekevu wa kinafiki, ni pasua kichwa

kifupi kama walivyosema wengine OA.
 
Kwanza huyu dada ana economic power inayompa ujasiri flani hivi.
Habembelezi mapenzi.

Pili,amechagua kuishi free stress life,amekupenda kwa akili na sio moyo. Moyo wake kazi yake ni kusukuma damu tu,hataki ujihusishe na mengine.

Tatu mapenzi ni kubembelezana,kama yeye hakubembelezi basi mbembeleze yeye,usijenge kuwa anayetakiwa kubembelezwa ni mwanaume tu.

Mwisho kabisa acha vituko,akichoka ataondoka kweli,ninavyomjua hataniagi...
Ohooo...
Hapa kuna dalili ya uchochezi[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Habari
Naomba nianzie mbali kidogo, mimi ni mwanaume wa miaka 43. Sijaoa ila niko mbioni kuoa. Wakati nilipomaliza kidato cha nne, nilijikuta katika mahusiano yaliyoniletea mtoto wa ujanani mapema sana. Mama wa mtoto huyu tuliachana nilipoingia chuo kikuu, hivyo nikawa kwenye mahusiano ya hapa na pale ambayo hayakudumu kwa kweli kiasi cha kufikia kuoana.

Mtoto wangu alipofikisha miaka 10 nilimchukua toka kwa mama yake na kuanza kuishi naye wakati huo nikiwa naishi kwa wazazi na hata nilipoanza kujitegemea niliondoka naye na niko naye hadi sasa na ni binti mkubwa tu. Kuna wakati tulikwaruzana sana na binti yangu. nadhani katika zile hatua za ukuaji. Akawa mtukutu sana na mwenye maendeleo mabaya shuleni.

Sasa katika kutafuta mahusiano nikajikuta katika mahusiano na mwanamke mmoja ambaye nimemzidi miaka 10. Mwanadada huyu tulikutana katika halfa fulani. Tukafahamiana na taratibu tukawa marafiki. Kiukweli nilivutiwa naye sana sio tu kwa mvuto alionao, bali pia namna alivyokuwa amejiweka. Msomi, mjasiriamali, muelewa na msikivu.

Nikawa nasita kidogo kumtokea nikihofia tofauti ya umri lakini siku moja akaamua mwenyewe kunieleza hisia zake. Nilishangaa sana mwanamke kunitokea.

Hivyo ndivyo tukajikuta katika mahusiano, Nakiri kwanza kuwa amenisaida mno kumnyoosha binti yangu kitabia na kitaaluma. Hivi ninavyoandika binti yangu anafanya vizuri darasani na ana nidhamu kwangu.

Ni miaka miwili tangu niwe na huyu dada inaelekea watatu lakini kinachonifanya niombe ushauri ni mambo madogo madogo ambayo nayaona kwa huyu dada na yananipa msongo kwa kiasi fulani, sielewi tatizo ni mimi au huyu dada.

Kwasasa tunaishi pamoja, ingawa ana kwake pia ila muda mwingi yuko nyumbani kwangu. Huyu dada hajui kubembelezana na mtu. yaani hana zile hulka za kike kike za mkikosana abembeleze au anune nune hivi. Huyu hana kabisa. Akikosea ataomba radhi hapo hapo na amemaliza. Ukimkaushia imekula kwako kwa kuwa akikutafuta mara mbili tatu ukamchunia ni mpaka utakapoamua wewe kumtafuta na utamkuta poa tu wala hakuulizi kwanini ulimkaushia.

Pili, Ukimkosea hana zile analia au kusema mpenzi wangu umeniumiza na vitu kama hivyo, yeye atakwambia abcd zake na amemaliza. Uombe radhi au upotezee hana habari. Hili jambo ndio huwa linaniacha hoi kabisa. Kuna wakati nilikuwa karibu na mwanamke fulani kazini. Akafuma meseji zenye utata kidogo. Alichofanya aliuliza na mimi nikajitetea kizembe sana ikawa basi, akaingia jikoni kupika na alipotoka uko akawa kama hakuona chochote.

Ni kama vile hana wivu ingawa pia akiona kitu tata anahoji kwa ukali kwelikweli na alishaniambia akichoka vituko atasepa kimoja, na mimi sitaki hilo litokee

Kuna wakati niliamua tu kumjaribu nikamkalia kimya, aliponitafuta nikamwambia nahitaji muda wa kuwa peke yangu. Nilijua labda atanibembeleza nimueleze tatizo. Aliitikia na kukubaliana nami. Huwezi amini alikaa wiki mbili kimya kabisa mpaka nilipoamua kumtafuta. Nikamuuliza kisa cha ukimya, akajibu ulisema unahitaji muda wa kuwa mwenyewe. Nilishangaa mno! Nikamwambia nimerudi. Akajibu karibu hakuuliza tatizo langu wala nini, Nilipomhoji kwanini haulizi hata kwanini nilikuwa kimya. Akanijibu we ni mtu mzima ukiamua utasema. Akaishia hapo.

Niliwahi kumkutanisha na dada yangu, masaa tu aliyokaa naye, aliniuliza huyu dada tutamuweza? Mbona hana bashasha za kiwifi wifi akimaanisha hazoeleki haraka. Marafiki zake ninaowajua ni watatu na sijawazoea kivile maana hata wao hawaelekei kunizoea.

Nikahisi labda anafanya hivi kwa kutafuta ndoa na angenionyesha makucha yake baadaye, nikamwambia mikakati ya ndoa tusitishe kwa sasa. Akajibu sawa wewe ndio muoaji, hakushtuka wala kukasirika. Baadae nikamwambia basi tuharakishe kufunga ndoa, akaniambia naonekana sijui nataka nini hivyo nitulize akili nijiulize kama kweli nataka kuoa na nataka kumuoa nani.

Nimekuwa nikichunguza kama ana mahusiano mengine ya nje, kwa miezi mitatu nilimfuatilia sana na sikugundua kitu chochote zaidi ya kuwa ana ukaribu na watu wenye pesa zao na hadhi kubwa kubwa. nahisi kama ananicontrol bila kujua najikuta namfanyia visa na vituko vya kitoto kila mara mradi tu anipe attention yake hata kama ni kunionyesha hasira ila wapi.

Anaweza akaamua kutokupika, na ukimuuliza anakujibu straight mimi sio wife hapa kwako ni mpenzi tu, nina uhuru wa kuamua kupika au lah. Majibu kama hayo nachoka kabisa ukizingatia nimemzidi miaka 10!

Ana mtoto mmoja ambaye, anaishi kwake pamoja na mdogo wake. Mtoto wa huyu baba yake ni mtu wa nje na hawana hata mawasiliano kwa kuwa hilo nimechunguza pia. Kama ni kunipenda alinitamkia mwenyewe japo mimi pia nilishampenda lakini sielewi kwanini yuko hivi alivyo.

Nifanye nini anionee wivu hata kidogo tu, au awe na hulka za kike, au kama wanawake wengine wanaonyenyekea waume zao aache uandava alionao… nikisema nitumie pesa kumhandle hata yeye anazo kiasi chake na huwa haombi chochote kile na hajawahi kuomba hata senti na nilitegemea na umri wake huo angenipapatikia kidogo ili nimuoe matokeo ni tofauti. Ila nampenda sana huyu dada maana kwenye sekta zingine kama mwanamke sio mtu wa mchezo.
Mkuu dawa yake huyo, mchanganye kimapenzi,,, mpige pipe ipasavyo, tena kitaalam, ukimuweza kiivo lazima akuwaze, hakuna dawa zaidi ya hiyo mkuu!!
 
Hapo we mkunje vizuri kwa bedi tu. ..ruka nae kichurachura mpaka mwenyewe atanyooka. ....atakua akikuangalia tu usoni anatema mate ya hamu. ...We endelea kusubiri kubembelezwa tu. .......kamata goma hilo ulitikite kisawasawa sio kulialia tu hapa. .....attention itakuja pale tu utakapomsugua ambapo hajawahi suguliwa......
 
Vip kitandan,hana kelele za mahaba? hahaaaa!!!!
 
Ha ha ha,mimi ndo huwa nawapenda hao mkuu.sio hawa wa uswazi wana gubu hatari.huyo yuko straight and clear na ni muwazi .pia hana unafiki kama hawa mashankupe wengine wa mjini.
Hahaaaa!!!! Mashankupe ndo akina nan
 
Muda kidogo nilikuwaga kajingaaaa.
Full kunyenyekea na kujilizaliza...
Siku hizi nimebadilika na sirudii tena ule ujinga.

Halafu nimegundua kitu,wanaume nao wanapenda tension zetu.
Ukimkaushia anaumiaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lakini ujue maisha hayaigwi, usinune nununu ukasababisha nyumba ndogo
 
Sasa unasubiri nini kumuoa?Usitegemee kubembelezwa kama mtoto wakati ni mtu mzima mapenzi yakubembelezana na kuchuniana waachie wasiojielewa na watoto wa secondary.Kama anakupenda na wewe unampenda basi hilo ndio la msingi

Nikipata wa hivyo itakua poa sana,sipendi kitu kinachoitwa kubembelezwa,wivu wa kuigiza n.k.

Mtoa mada Aoe tu huyu binti maana ameishamjua vizuri.
 
Huyo dada nimempenda sana, asee kwa kuishi vile sidhani kama anapata stress... Nimempenda mno
 
Ukimwachia huyo utakuja oa mtalaka au sister aliyeasi au aliyetanguliwa na mpendwa wake au .... au. Shauri zako.
 
Back
Top Bottom