Haniulizi kwa lolote

Pamoja na umri wako una akili za kitoto sana...na huyo dada ni super wife material....she does not deserve u...me ni mwanamke but kama ningekuwa mwanaume ningependa nipate mwanamke matured kama huyo...we unataka mwanamke atakayekutext 24 hours....anayelia lia na kususa susa...no My brother behave kama matured man....hiyo dada anajiamini na usipomuoa wewe ataolewa tu trust me hata kama ataturn 40..hataki watu wa mchezo mchezo
 
Miaka 41 umeshindwa kung'amua??? Kumbe mi baaaaaado sana.

Inamaana huyo dada ana miaka 31 kama hesabu zangu zipo sawa. Mwanamke katika umri huu anakuwa ameshakomaa sana, wewe unataka awe na mambo ya wale wa miaka 19 mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…