Haniulizi kwa lolote

Inawezekana hata hisia za mapenz hana kabisa, pengine huyu dada hapo awali alitendwa, na aliharibika kisaikology, nakushauri kwanza kujua maisha yake, history pamoja na relationship alizo pitia, hio itakusaidia wewe kumuelewa,

Usikimbilie kuowa pengine huko atakutesa zaid, unaweza ukaja dai papuchi pengine hana feeling kabisa, huo mwanzo wa kukwambia anakupenda ni njia ya kutafuta mtu wa kummalizia haja zake, ni mawazo yangu tu
 
Mkuu ! Huyo demu anavuta bangi ! Kweli tena... ! Wavuta bangi ndivyo walivyo katika mahusiano.. ! Huwa wanakosa bashasha kabisaaa ! Hawanaga interests wala nini ! Mtu akuwa amelizika kwa kila kitu..!

Wewe muongo mbona mimi navuta bangi, na hapa nimevuta. Mke wangu anenjoy kuliko kawaida. Tukipeana haki yetu ya ndoa namkanda mgongo mpaka analala, na akiamka tu nampa makiss kama nane tisa hivi mpaka anatoa smile la kipekee? Hakuna original kama bangi.
 
Wanawake wa western Europe hawako hivyo hata huko America, wana mapenz kama sisi waafrica au zaidi, wanabembelezana wanaulizana, hata kama wako busy vipi na out wanatoka pamoja, nikuulize wewe muhusika ushawahi kutoka nae out huyo bint? Umeonaje kama ulitoka nae, msome kwa kupitia macho na vitendo na feeling
 
Exactly
 
Bbbbbbbboooooooooonnnngggggeeeeeee Moja Ya Mwanamke. Kama Anavuta Bangi Mnunulie Magunia Weka Ndani.
 
Issue hapa ni moja tu!!
Una Amani na Furaha naye?
YES, Unajua nini cha kufanya!
NO, Unajua nini cha kufanya!!
Period!!
 
Hahahh umemaliza
Halafu atabak na uzee wake @43
 
Ndio namshangaa huyu baba anataka kubembelezwa na utu uzima huu kama mtoto eti mambo yakuanza kununia jamani kazi ipo
Hahahaha eti kununiana hahahaha hyu itakua aliruka stage @43 unawaza kununiana wkt we dd that @18-20
 
Hahahh umemaliza
Halafu atabak na uzee wake @43
Na umri huo halafu ananuna,ujue sipatagi picha mwanaume akinuna anakuwaje?

Wanaume wanatoweka kwa kasi sana aisee,tunabaki na wanaoigiza kuwa wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…