Hans Pope, jeuri na kisiki

Hans Pope, jeuri na kisiki

hata kama ukiwa sio ccm ila ukiwa yanga tu akili zako lazma ziwe hazina akili
Sawa Mwana Simba, mimi ni Mwana Yanga, matusi yako yakurudie. Ila saidia kumpata Hansi Pope anatafutwa na PCCB kwa kuwaibia Simba Sport Club!
 
Masihara kama haya Merely Balhabou akapotea!
 
Ila baba yake kwenye vita ya Uganda alisifika sana kwenye medani na aliitwa 'Black Mamba' ingawa yeye ni mweupe- nadhani alijipaka tope au masizi. Kwa hiyo ujeuri wake ni wa urithi. Kutoka hela mpaka kuwa tajiri siyo mchezo.
Umechanganya madesa BLACK MAMBA ni MAJOR GENERAL WALDEN
 
Story za vijiweni;Black Mamba ni Mayunga sio baba yake Hans!!Baba yake Hans alikua Polis na ni mmoja wa watu wa mwanzo kuuawa na mashambuliz ya Amin Kagera
Mayunga ni MTI MKAVU
 
Kitendo cha yeye kushiriki katka jaribio la kumpindua rais aliyechaguliwa kidemokrasia kinamfanya kuwa mtu wa kawaida katika taifa hili mpaka atakapoingia kaburini. Ndio maana hivyo vyeo atavipata huko huko private sector. Hawezi kugombea ubunge wala urais wa nchi hii kwa sababu moja kubwa kwamba ana historia chafu ambayo haiwezi kufutika kwa kuifadhili Simba au kuwa na malori mengi.
Sikubaliani na ww mkuu, kutaka kumpindua rais hata usalama wa taifa hawawezi kukuchukulia kua umtu mdogo wewe tu ndie unaeweza ila hata mm kwangu si mtu mdogo
 
Mbona story yako haileti maana haiwezekani gari lipite likiwa empty halafu liwelimezidisha uzito, hizo ni porojo...!!
Think out of box ndg, kwani hawawezi wakalipitisha likiwa na mzigo then usiku likiwa kwenye maegesho wakala dili mzigo ukapakuliwa wote au ukaachwa mchache
 
Alisema `sijibizani na mbwa bali naongea na mwenye mbwa....` huko kwingine na wewe tafiti nani alikuwa mbwa na nani mwenye mbwa.
Hii kauli inarudiwa rudiwa tu ss sijui aliyeitumia hasa ni nani, maana kipindi kile cha manji walisema alijibu hivi baada ya kutaka kubomolewa ukuta sijui ili upanuzi wa barabara upite ila leo naona limetumika kwa huyu, inawezekana pia wote walilitumia
 
Kitendo cha yeye kushiriki katka jaribio la kumpindua rais aliyechaguliwa kidemokrasia kinamfanya kuwa mtu wa kawaida katika taifa hili mpaka atakapoingia kaburini. Ndio maana hivyo vyeo atavipata huko huko private sector. Hawezi kugombea ubunge wala urais wa nchi hii kwa sababu moja kubwa kwamba ana historia chafu ambayo haiwezi kufutika kwa kuifadhili Simba au kuwa na malori mengi.
Ww kweli hujielewi,hivi Nyerere alichaguliwa na wananchi kidemokrasia una uhakika?
 
Hii kauli inarudiwa rudiwa tu ss sijui aliyeitumia hasa ni nani, maana kipindi kile cha manji walisema alijibu hivi baada ya kutaka kubomolewa ukuta sijui ili upanuzi wa barabara upite ila leo naona limetumika kwa huyu, inawezekana pia wote walilitumia
waswahili kwa kuzusha utawaweza?
 
Huyu jamaa kumbe mafia leo pale taifa mechi simba na as vital katoka zake nje, then kajichanganya na wahuni wamemzonga wala haofii.
 
Back
Top Bottom