Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
- Thread starter
-
- #101
Sawa Mwana Simba, mimi ni Mwana Yanga, matusi yako yakurudie. Ila saidia kumpata Hansi Pope anatafutwa na PCCB kwa kuwaibia Simba Sport Club!hata kama ukiwa sio ccm ila ukiwa yanga tu akili zako lazma ziwe hazina akili
Umechanganya madesa BLACK MAMBA ni MAJOR GENERAL WALDENIla baba yake kwenye vita ya Uganda alisifika sana kwenye medani na aliitwa 'Black Mamba' ingawa yeye ni mweupe- nadhani alijipaka tope au masizi. Kwa hiyo ujeuri wake ni wa urithi. Kutoka hela mpaka kuwa tajiri siyo mchezo.
Mayunga ni MTI MKAVUStory za vijiweni;Black Mamba ni Mayunga sio baba yake Hans!!Baba yake Hans alikua Polis na ni mmoja wa watu wa mwanzo kuuawa na mashambuliz ya Amin Kagera
DaaaaaahMasihara kama haya Merely Balhabou akapotea!
Kweli aiseeMasihara kama haya Merely Balhabou akapotea!
Msoga akiwa katika ubora wake.... kupitia TRA.... alimmaliza Mwarabu wa watu!Daaaaaah
Chief umenikumbusha mbali
What happened to the guy
Na ndio kifo cha Moro United Fc kikaanzia hapo na kuja kufia DSM!Msoga akiwa katika ubora wake.... kupitia TRA.... alimmaliza Mwarabu wa watu!
Sikubaliani na ww mkuu, kutaka kumpindua rais hata usalama wa taifa hawawezi kukuchukulia kua umtu mdogo wewe tu ndie unaeweza ila hata mm kwangu si mtu mdogoKitendo cha yeye kushiriki katka jaribio la kumpindua rais aliyechaguliwa kidemokrasia kinamfanya kuwa mtu wa kawaida katika taifa hili mpaka atakapoingia kaburini. Ndio maana hivyo vyeo atavipata huko huko private sector. Hawezi kugombea ubunge wala urais wa nchi hii kwa sababu moja kubwa kwamba ana historia chafu ambayo haiwezi kufutika kwa kuifadhili Simba au kuwa na malori mengi.
Think out of box ndg, kwani hawawezi wakalipitisha likiwa na mzigo then usiku likiwa kwenye maegesho wakala dili mzigo ukapakuliwa wote au ukaachwa mchacheMbona story yako haileti maana haiwezekani gari lipite likiwa empty halafu liwelimezidisha uzito, hizo ni porojo...!!
Hii kauli inarudiwa rudiwa tu ss sijui aliyeitumia hasa ni nani, maana kipindi kile cha manji walisema alijibu hivi baada ya kutaka kubomolewa ukuta sijui ili upanuzi wa barabara upite ila leo naona limetumika kwa huyu, inawezekana pia wote walilitumiaAlisema `sijibizani na mbwa bali naongea na mwenye mbwa....` huko kwingine na wewe tafiti nani alikuwa mbwa na nani mwenye mbwa.
We kweli Juha. Nan kakwambia Nyerere alichaguliwa kidemokrasia?Hana historia yoyote ya maana kwa taifa hili. Labda kama siku hizi tumeanza kutukuza watu wanaopindua na kuondoa madarakani viongozi waliochaguliwa na wananchi kidemokrasia.
Ww kweli hujielewi,hivi Nyerere alichaguliwa na wananchi kidemokrasia una uhakika?Kitendo cha yeye kushiriki katka jaribio la kumpindua rais aliyechaguliwa kidemokrasia kinamfanya kuwa mtu wa kawaida katika taifa hili mpaka atakapoingia kaburini. Ndio maana hivyo vyeo atavipata huko huko private sector. Hawezi kugombea ubunge wala urais wa nchi hii kwa sababu moja kubwa kwamba ana historia chafu ambayo haiwezi kufutika kwa kuifadhili Simba au kuwa na malori mengi.
waswahili kwa kuzusha utawaweza?Hii kauli inarudiwa rudiwa tu ss sijui aliyeitumia hasa ni nani, maana kipindi kile cha manji walisema alijibu hivi baada ya kutaka kubomolewa ukuta sijui ili upanuzi wa barabara upite ila leo naona limetumika kwa huyu, inawezekana pia wote walilitumia
Hans huwa anakwambia yeye JABALIHuyu jamaa kumbe mafia leo pale taifa mechi simba na as vital katoka zake nje, then kajichanganya na wahuni wamemzonga wala haofii.
Hans Pope apumzike kwa amaniNikilisikia jina la Hans Pope nakumbuka jaribio la kutaka kuiondoa madarakani serikali ya Mwalimu J. K. Nyerere mwaka 1982...!!
Tafakari...!!