Hans Pope, jeuri na kisiki

Hans Pope, jeuri na kisiki

Nakumbuka enzi ya mgogoro wa mizani na malori ya mizigo, mtukufu akiwa waziri mwenye dhamana na mizani ya barabarani, ndugu Hans Pope alimtolea lugha ya dharau sana mtukufu. Hapa naangalia ITV taarifa, lory zake za mafuta zaidi ya kumi zimebanwa na TRA TUNDUMA wakidaiwa arrears of kodi. Cha kushangaza karibu gari zote ni za HANSI POPE. Mimi si ccm hata kidogo. Naichukia ccm na viongozi wake. Ila pamoja na hayo dharau ya HANS POPE ilizidi kipimo. Simba toeni ushauri kwa jamaa yenu.
Ungetukumbusha hiyo lugha ya dharau ingekuwa vyema kwenda sambamba na uzi
 
Kuna jamaa alikua ananieleza walifungwa gereza moja na huyo jamaa Mwanza miaka ya tisini huko.
Alikua anaogopwa sana na kila siku walikua lazima walipoti ikulu hali yake huko Butimba.
Nimeambiwa na ex con mwenye taarifa zaidi adadavue usahihi wa hili jambo.
Nasikia jamaa alibambikiziwa kesi ya uhaini.... etc
 
Ila baba yake kwenye vita ya Uganda alisifika sana kwenye medani na aliitwa 'Black Mamba' ingawa yeye ni mweupe- nadhani alijipaka tope au masizi. Kwa hiyo ujeuri wake ni wa urithi. Kutoka hela mpaka kuwa tajiri siyo mchezo.
 
Hilo gorofa refu ndo Hanspope hotel iringa town
a6815fbf87b85f78e35945a7dd1f4c26.jpg
kweli hiyo ni 5* Hotel. Duhhh
 
Aliwahi kumlipisha mkulu akiwa waziri wa usafirishaji

ilikuwa pale kibaha mizani kila magari yake yakipita yanaambiwa yamezidi mzigo mkubwa ikaenda hivyo miaka kibao siku moja wakacheza bonge la issue wakafunga vzr malori kama nane hivi na documents zikionyesha kuwa wamebeba mzigo yalipofika mizani wakaambiwa kama kawaida kuwa mzigo umezidi

Basi wakabiwa waache magari hapo atakuja mwenyewe kesho wakaacha document na funguo za magari yote

Oooooooh kesho kaenda pale mizani akasomewa mashitaka akalipa wakati wanamkabidhi akasema ngoja ahakikishe mzigo lallalallalaallalalalalala yeye akijua kabisa kuwa hakuna kitu alifungua na wao wakiwepo gari hazina kitu kesi yake ilikuwa si mchezo serikali ikalipa pakubwa sana
Jamaa aliyepata ukulu kwa shida anakisasi sio kidogo
 
Ila baba yake kwenye vita ya Uganda alisifika sana kwenye medani na aliitwa 'Black Mamba' ingawa yeye ni mweupe- nadhani alijipaka tope au masizi. Kwa hiyo ujeuri wake ni wa urithi. Kutoka hela mpaka kuwa tajiri siyo mchezo.
Story za vijiweni;Black Mamba ni Mayunga sio baba yake Hans!!Baba yake Hans alikua Polis na ni mmoja wa watu wa mwanzo kuuawa na mashambuliz ya Amin Kagera
 
Mambo madogo sana hayo. Kama anadaiwa kodi alipe yaishe, tusitafute kuyakuza.

Cha kujiuliza, kwanini kuwe na malimbikizo ya kodi? Kama post namba moja ni ukweli "arrears".

Labda ni kingine na si kodi.
 
Ila baba yake kwenye vita ya Uganda alisifika sana kwenye medani na aliitwa 'Black Mamba' ingawa yeye ni mweupe- nadhani alijipaka tope au masizi. Kwa hiyo ujeuri wake ni wa urithi. Kutoka hela mpaka kuwa tajiri siyo mchezo.
Masahihisho mkuu, Baba yake Hans Poppe alikuwa Polisi na alikuwa RPC Kagera mwanzoni mwa choko choko za nduli Idi Amin Dada. Wakati wa choko choko hizo alienda kukagua mpaka na Brig. Gen. Guido Kusiga na ndipo wakavamiwa na askari wa Uganda. Gen Kusiga alifanikiwa kuwatoroka watekaji hao lakini Mzee Poppe akauawa na maiti yake ikaonyeshwa hadharani Uganda na Idi Amin kama ushahidi kuwa Nyerere alikuwa ameleta "wachina" kumsaidia. Gen. John Butler Walden ndiye "Black Mamba" alikuwa kamanda wa mojawapo ya "axis" tatu za JWTZ zilizopewa majukumu ya kuiokomboa Kagera na baadaye kuiteka Uganda na kumwondoa Nduli Amin. Axis nyingine ziliongozwa na Gen. Mwita Marwa na Gen. Silas Mayunga huku "wachoraji wa vita" ni Gen. Richard Burton Mwalipanga Lupembe, Gen. Abdul Takadir Kitete na Gen. Gideon Fundi Sayore. Hans Poppe wana asili ya Ujerumani Wakati Gen. Walden ana asili ya Uingereza. Nawasilisha
 
Ahsante kwa ufafanuzi na kuiweka historia sahihi ya marehemu baba yake Zakaria Hans Poppe. Mimi nilimchanganya na Gen Walden- Black Mamba.
 
Ungetukumbusha hiyo lugha ya dharau ingekuwa vyema kwenda sambamba na uzi
Siyakumbuki vizuri. Ila kulikuwa na majibizano na waziri yasiyo na staha kipindi hicho Pope akiwa na cheo kwenye umoja wa wenye malori
 
Story za vijiweni;Black Mamba ni Mayunga sio baba yake Hans!!Baba yake Hans alikua Polis na ni mmoja wa watu wa mwanzo kuuawa na mashambuliz ya Amin Kagera

Nimekwisha kusahihishwa hata hivyo Black Mamba alikuwa Gen Walden na Mayunga alikuwa kamanda Mti Mkavu.
 
Masahihisho mkuu, Baba yake Hans Poppe alikuwa Polisi na alikuwa RPC Kagera mwanzoni mwa choko choko za nduli Idi Amin Dada. Wakati wa choko choko hizo alienda kukagua mpaka na Brig. Gen. Guido Kusiga na ndipo wakavamiwa na askari wa Uganda. Gen Kusiga alifanikiwa kuwatoroka watekaji hao lakini Mzee Poppe akauawa na maiti yake ikaonyeshwa hadharani Uganda na Idi Amin kama ushahidi kuwa Nyerere alikuwa ameleta "wachina" kumsaidia. Gen. John Butler Walden ndiye "Black Mamba" alikuwa kamanda wa mojawapo ya "axis" tatu za JWTZ zilizopewa majukumu ya kuiokomboa Kagera na baadaye kuiteka Uganda na kumwondoa Nduli Amin. Axis nyingine ziliongozwa na Gen. Mwita Marwa na Gen. Silas Mayunga huku "wachoraji wa vita" ni Gen. Richard Burton Mwalipanga Lupembe, Gen. Abdul Takadir Kitete na Gen. Gideon Fundi Sayore. Hans Poppe wana asili ya Ujerumani Wakati Gen. Walden ana asili ya Uingereza. Nawasilisha
Mkuu kama unajua kitabu chochote chenye haya maelezo naomba unitajie nikitafute.
 
Story za vijiweni;Black Mamba ni Mayunga sio baba yake Hans!!Baba yake Hans alikua Polis na ni mmoja wa watu wa mwanzo kuuawa na mashambuliz ya Amin Kagera
Acha kudanganya, black mamba ni general john walden na sio mayunga
Nakumbuka enzi ya mgogoro wa mizani na malori ya mizigo, mtukufu akiwa waziri mwenye dhamana na mizani ya barabarani, ndugu Hans Pope alimtolea lugha ya dharau sana mtukufu. Hapa naangalia ITV taarifa, lory zake za mafuta zaidi ya kumi zimebanwa na TRA TUNDUMA wakidaiwa arrears of kodi. Cha kushangaza karibu gari zote ni za HANSI POPE. Mimi si ccm hata kidogo. Naichukia ccm na viongozi wake. Ila pamoja na hayo dharau ya HANS POPE ilizidi kipimo. Simba toeni ushauri kwa jamaa yenu.
 
Kuna jamaa alikua ananieleza walifungwa gereza moja na huyo jamaa Mwanza miaka ya tisini huko.
Alikua anaogopwa sana na kila siku walikua lazima walipoti ikulu hali yake huko Butimba.
Nimeambiwa na ex con mwenye taarifa zaidi adadavue usahihi wa hili jambo.
Nasikia jamaa alibambikiziwa kesi ya uhaini.... etc
Yap mkuu huyo Jamaa kwa Mara ya kwanza Alikuwa Gereza Maweni ambapo ndipo mshua alianzia kazi 1986, 1989 mshua akahamia Gereza kuu Butimba na huyo Jamaa muda mchache nae wakamuhamishia Gereza Butimba-Mwanza...
 
Mimi nimemwelewa kuwa Hans Pop alifungwa hivyo baba ke kamlinda sana gerezani.
Ila jamaa alisota sana magereza ya Lindi baada ya jaribio LA kumpindua nyerere.
Baba yake Zacharia Hans Pope ni nani, huyo aliyemlinda Zacharia gerezani wakati mzee Hans Pope (RPC) aliyekuwa babaye Cpt Zacharia alikwisha fariki (uawa) siku nyingi kabla ya harakati za akina Zacharia dhidi ya serikali ya Mwl Nyerere.
 
Back
Top Bottom