Hans Poppe: Hali ya kiuchumi Simba SC si nzuri

Walikuwa wanajipendekeza kwa azam kutaka undugu kinguvu....na azam wamewawin na kuchukua nafasi yao kwenye ligi...asante yanga kwa kukataa undugu na hao washenzi

Teh! teh! teh! teh! Wakati Yanga tunashangilia ubingwa, mikia wanapiga miayo ya njaa, Long Live Young Africans Sports Club!
 
stupid Yanga na Simba,kama wanaona haziwatoshi waache wasichukue kama wapumbavu wenzao wa Yanga.Hatuhiatji kutuletea hadithi za mapato kidogo...unafikiri nani atakuja uwanjani wakati pafomansi ya timu ni mbovu sana,kwann msipate mapato kidogo/hasara ikiwa kila leo nyie mnavunja mikataba ya makocha na wachezaji.Hatuhitaji viongozi wasio na vision ya mpira.Hivi mdhamini wenu kilimanjaro anawapa fungu kiasi gani kwa mwaka?Go to hell Yanga na Simba
 

Kwani ww tim yako inapataje mapato,... kupata mapato kupitia milango ni dhambi?!
 
hapa ndipo ninapomkumbuka Michael Wambura, kiongozi mwenye vision aliyetaka kuikomboa simba kiuchumi!
 
hapa ndipo ninapomkumbuka Michael Wambura, kiongozi mwenye vision aliyetaka kuikomboa simba kiuchumi!

Acha umbumbumbu,kwa hy yye angevunja mkataba na azam?,huyo wambura hana tofauti na rage.....malinzi,wambura,rage,muhidini ndoranga,kaduguda ni kitu kimoja..afadhari ya aveva
 
Simba acha uongo,mie ni mwanachama ila sikubaliani nanyi kuwafukuza mashabiki
 
Kwani ww tim yako inapataje mapato,... kupata mapato kupitia milango ni dhambi?!

Hakuna sehemu nimesema ni dhambi kwa klabu kupata mapato kupitia mapato ya mlangoni,ninachosema ni kuwa waachew kulalamika na watafute vyanzo vingine vya mapato,pia waipange timu ifanye vizuri uwanjani na watu wataenda tu kuhudhuria.Lakini pafomansi ikiwa hivi hakuna atakayepoteza muda wake na pesa zake kwenda kushuhudia ujinga wanaoufanya kiwanjani
 
Sawa simba wanapata mapato madogo kutokana na perfomance kushuka,lakini kwa perfomance hiyo hiyo ya chini kuna watu wangekuwa tayari kwenda uwanjani kama mechi zisingekuwa zinaoneshw na mapato yangekuwa na ahueni....siyo mara ya kwanza simba kufanya vibaya...kuna wakati walitaka kushuka daraja na bado watu walikuwa wanajaa uwanjani kuisapoti timu yao
 
Ikifika hapa ndio maana uwa namshukuru Mungu kwa kuzaliwa na kuwa mshabiki wa Yanga.
 
Walikuwa wanajipendekeza kwa azam kutaka undugu kinguvu....na azam wamewawin na kuchukua nafasi yao kwenye ligi...asante yanga kwa kukataa undugu na hao washenzi

walidhani wanaikomoa yanga kumbe wanajikomoa wenyewe..
 
kwa kauli hiyo ya H.P ..
sasa kila mtanzania mwanasoka ameona tofauti kati ya viongozi wa yanga na wa simba.
 
Mkuu kama kiongozi wa timu anasema UBINGWA SIO MUHIMU KWAO ILA MUHIMU KWAO NI KUIFUNGA YANGA KIONGOZI KAMA HUYU KUMPA ASIMAMIE MAPATO YA TIMU SI MUNAMUONEA TU
 
Kwanza usiitaje Yanga kwa sababu sisi ni mabingwa, pili sisi hatupatimihela ya azam tatu hizo ni maumivu ya kukosa ubingwa.Aise mnachekesha eti mwakani msuva anatua simba !!!!!! aje kufanya nini?Simba Aibu tupu nafasi ya tatuuuuuuuuuuuu mpaka mwaka 2020.Mapovu mpaka mtalewa

 

Kweli mkuu,klabu ikiamua kuandikisha washabiki kuwa wanachama,wapenzi was simba waliopo mikoani uwauzie kadi za uanachama kwa Tshs.2'000/- kwa watu 1'000'000 utapata Tshs.billion 2.
Na klabu iandae taarifa za mapato na matumizi ili kusimamia suala la fedha vizuri!!!!
 

kwanza yanga bingwa 2014-2015.

Hapo ndipo tunapoambiwa tuwe tunachagua viongozi wenye vision,viongoz wa simba waliposikia ml100 wao waliziona nying had kukataa makubaliano yao ya kwanza na yanga.lakin viongoz wa yanga walipoambiwa ml100 wao wakafanya tathimin wakaona ni hela ya mishahara ya viongoz na wachezaj kwa mwez mmoja wakazikataa.
 
Litimu hata mashabiki wenyewe wamelichoka
 

Unafkir tz nzima wanapenda mpira eeeh...au kati ya hao wanaopenda mpira wote wanapenda mpira wa bongo? Au wanaopenda mpira wa bongo wote wanapenda simba?au wanaopenda simba wapo tayari kigharamia huo ujinga na kuwa memba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…