libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Mkuu hebu nielimishe zaidi hapo kwa red, Yanga wao wananufaika vipi na azam TV? manake si mechi zao wanaonyesha?
Yanga walikataa mapema pesa ya Azam simba njaa zao wakadaka mkwanja huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hebu nielimishe zaidi hapo kwa red, Yanga wao wananufaika vipi na azam TV? manake si mechi zao wanaonyesha?
Mkuu,hizo zikitua ni balaa badala ya neema. Kazi itakuwa kulipa madeni halali na fake humohumo. Wapigaji hawatacheza mbali.
Usije shangaa watu wanatoana macho