Hans Poppe: Hali ya kiuchumi Simba SC si nzuri

Hans Poppe: Hali ya kiuchumi Simba SC si nzuri

Daaa..kwakweli tuvute subira..yawezakua ndo mazima tena bahati mbaya tuna wanasheria magumashi...na faini umeiona toka kamati ya ligi..hata mkipewa hela bado zitatumika kulipa madeni..tambwe,loga,at al...hapo sijagusia mahoteli..friendz of Simba
 
Mkuu,hizo zikitua ni balaa badala ya neema. Kazi itakuwa kulipa madeni halali na fake humohumo. Wapigaji hawatacheza mbali.
Usije shangaa watu wanatoana macho

Mkuu hiyo ndo hali halisi.. Na hao ndo viongozi tuliowaweka madarakani, hivyo hatuna budi kucheza pambio wanalotuimbisha.
 
Back
Top Bottom