Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi Kabisa Ambangile ni mchambuzi mzuri ila ni muoga wa kuongea ukweli,mfatilie hata mechi za Simba na Yanga akiulizwa utabiri wake lazima aweke sare kukwepa lawama.kingine anapendelea sana matamshi ya aina moja kiasi kwamba unaweza kuhisi karudia uchambuziSi kwamba wanaofunguka wanaongea kiushabiki. Natolea mfano tu (sio lazima iwe hali halisi), wakati wachambuzi wengine wanaweza wakaweka wazi kuwa Tuisila Kisinda hastahili kuanza katika kikosi cha kwanza mbele ya Farid, yeye Ambangile huwa ni mzito kuongea kauli ngumu kama hizo, maybe kwa kuhofia atatafsiriwa kushiriki ukosoaji