Hans Rafael anamuiga George Ambangile?

Hans Rafael anamuiga George Ambangile?

Wote hao walikuwa wanamuiga Ali kamwe baada ya kuanzisha mambo 10 tofauti ni kwamba yule ambagile haweki namba yeye anaweka tu maneno ila ukiangalia muundo ni ule ule ila wote kwa ali kamwe hakuna anayemfikia
 
Kuna mzigo pale unaitwa Edo kumwembe hata ukimweka baba levo pale atakuwa ni bora kuliko yeye yaani aibu naona mimi
 
Si kwamba wanaofunguka wanaongea kiushabiki. Natolea mfano tu (sio lazima iwe hali halisi), wakati wachambuzi wengine wanaweza wakaweka wazi kuwa Tuisila Kisinda hastahili kuanza katika kikosi cha kwanza mbele ya Farid, yeye Ambangile huwa ni mzito kuongea kauli ngumu kama hizo, maybe kwa kuhofia atatafsiriwa kushiriki ukosoaji
Uko sahihi Kabisa Ambangile ni mchambuzi mzuri ila ni muoga wa kuongea ukweli,mfatilie hata mechi za Simba na Yanga akiulizwa utabiri wake lazima aweke sare kukwepa lawama.kingine anapendelea sana matamshi ya aina moja kiasi kwamba unaweza kuhisi karudia uchambuzi
 
Kuchambua na kutoa maoni ni vitu tofauti, mchambuzi bora wa mpira wa miguu lazima awe na sifa hizi

1: awe alishawahi kuucheza mpira wa miguu

2:awe na taaluma ya ukocha au uamuzi au vyote na sio kwa kiwango cha juu sana

3: Awe na taaluma ya uandishi wa habari angalau hata cheti

Wachambuzi wapo wachache sana hapa nchini, na katika hao wachache wengi wao wapo Azam TV, huko vyombo vingine ama hawapo kabisa au ni mmoja mmoja, wengi huwa ni watoa maoni tu.
 
Voice of Micheal Owen,voice of Rio Ferdinand,Voice of John lescot ,voice of Paul school Voice of John Barners ushajiuliza kwanin ulaya wachumbizi wa mpira wengi ni wachezaji kuliko watu wakawaida mim naamini kitu ambacho ataongea amri kiemba ni Bora zaidi kuliko hao kina ambagile ao wote wanaujua mpira Kwa mdomo tu ila on realist hakuna hata mmoja anaweza Ata kupiga danadana kumi
 
Hawa wanafanana sana sauti.

Ambangile ana vionjo vingi zaidi. Ohhh, camon nk nk.

AMBANGILE NDIO BABA WA WACHAMBUZI WOOOTE WA MPILA TANZANIA, NDIO KIOO CHA SOKA.

Hata mwakasege ndio baba wa Mahabiri Tanzia.
Wahubiri wengi wanapenda kumuiga kupita kwenye MAFUNDISHO na aina yake ya uhubiri.
 
Back
Top Bottom