Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Jikite kwenye mada,by the way Binti Kazumari anasemajeMchambuzi wako pendwa huyo na sasa ndio Fabrizio wa hapo Jangwani
Wenye share 51% wao wanachangia nini?Tajiri ana share 49% ila Kila mwaka anaongelea tu pesa anazotoa bila kusema returns anazopata
Kuwaweka watu mpaka saa 4 kisha kutoa tamko kama Hilo ni dharau sana
Hans anawachotaga sana na nyie mnajaa as long as ana feed ego zenuJikite kwenye mada,by the way Binti Kazumari anasemaje
Tunachohoji ni hayo malalamiko na masimango yake ya kila mwaka kuhusu hasara,kama anapata hasara kwanini asikae pembeni awaachie wengine na kingine mbona anataja hela alizotoa tuu mbona haweki mapato na matumizi?Wenye share 51% wao wanachangia nini?
Kuendesha Club ya mpira usifananishe na kodi ya meza unayoiacha asubuhi nyumbani
Mangungu atoke pale km Simba wanataka VikombeKwanini ameendelea kuwakumbatia viongozi wale wale ambao kila msimu wanafuja pesa zake kwa kusajili Wachezaji wa kawaida?
Jibu hoja zake, acha porojo kama za MwamediHans anawachotaga sana na nyie mnajaa as long as ana feed ego zenu
Na ndio mnaemtumia kwenye propaganda zenu za kishamba, well mta catch attention za mapimbi
Kabla ya kupima malalamiko tuanze na wewe, unaijua hata Bilioni inafananaje?Tunachohoji ni hayo malalamiko na masimango yake ya kila mwaka kuhusu hasara,kama anapata hasara kwanini asikae pembeni awaachie wengine na kingine mbona anataja hela alizotoa tuu mbona haweki mapato na matumizi?
Hana hojaJibu hoja zake, acha porojo kama za Mwamedi
Acha porojo wewe chawa wa MwamediKabla ya kupima malalamiko tuanze na wewe, unaijua hata Bilioni inafananaje?
Huyu ni Raisi wenu hapa akilalamika kuhusu hasara na akaenda mbali akiwaita wala mihogo
View attachment 3406226
Kumbuka huyu ni Chawa tu wala sio mtoaji pesa na wala hajui inatafutwaje lakini he knows the feeling of spending and get loss.
Ndio maana nakuambia huyo chawa wenu Hans anawapoteza sana kwa kuwa feed ego zenu.
Mwambie mwamedi kama anapata hasara achie timuHana hoja
Huyo jamaa uto wanamuamini vibaya mno licha ya kutoa maboko kwenye taarifa zake nyingi ila huwaambii kitu yani kwa alipofikia hata akisema yanga imekamilisha usajili wa yamal au salah uto watamuamini tu, jamaa baada ya kuona anakosa tetesi za simba kwa sababu zinafanyika kwa siri anaamua kutunga uongo wake na mashabiki wa uto wanamuamini na kumpa bichwa kama hivyo, kila mchezaji anakuambia alitakiwa na simba ila kasajiliwa uto na kwamba eti vita ilikuwa kali kati ya mo na gsm ila mwisho wa siku gsm ndio kashinda basi mashabiki wa uto wakisikia hivyo wanafurahi kweli na kujifarijiMchambuzi wako pendwa huyo na sasa ndio Fabrizio wa hapo Jangwani
Sawa lakini ilitakiwa iwe, "he knows the feeling of spending and getting loss" au sio jamaangu si tunaongelea uwingi na present continuous? Au loss ilitokea one time na haijatokea tena na haiwezi kutokea jalokuwa tajiri kila mwaka anasema hilo hilo?....Kabla ya kupima malalamiko tuanze na wewe, unaijua hata Bilioni inafananaje?
Huyu ni Raisi wenu hapa akilalamika kuhusu hasara na akaenda mbali akiwaita wala mihogo
View attachment 3406226
Kumbuka huyu ni Chawa tu wala sio mtoaji pesa na wala hajui inatafutwaje lakini he knows the feeling of spending and get loss.
Ndio maana nakuambia huyo chawa wenu Hans anawapoteza sana kwa kuwa feed ego zenu.
Sasa mangungu zile nguvu anazo tumia jimboni , si azilete klabuniMangungu atoke pale km Simba wanataka Vikombe