5-1, 2-1, 1-0, 1-0, 2-0Hans anawachotaga sana na nyie mnajaa as long as ana feed ego zenu
Na ndio mnaemtumia kwenye propaganda zenu za kishamba, well mta catch attention za mapimbi
Kama alivyotuchotaga kwenye sakata la derbyHans anawachotaga sana na nyie mnajaa as long as ana feed ego zenu
Na ndio mnaemtumia kwenye propaganda zenu za kishamba, well mta catch attention za mapimbi
"Binafsi nimemsikiliza Tajiri ila sijaona utofauti wa kile alichoongea msimu uliopita na leo.
1. Mo anasema ametoa zaidi ya Tsh 80b, inawezekana ni kweli Ila atwambie na Yeye Simba imemtengenezea kiasi gani?....maana kila mwaka anatumia Brand ya Simba kutangaza bidhaa zake.
2. Mo amesema kila mwaka anatoa hela ya usajili ila mambo yamezidi kuwa yale yale kila mwaka Simba wanasajili Wachezaji 17 na mwisho wa Msimu wanakata 14 je Mo haoni pale Simba kuna shida ya utendaji? Kwani asiwaondoe viongozi wote wanaosajili.....? na kuajiri watu wapya wa mpira kama (Technical Director na Drector of football) ili wasimamie vizuri project na Pesa zake? Kwanini ameendelea kuwakumbatia viongozi wale wale ambao kila msimu wanafuja pesa zake kwa kusajili Wachezaji wa kawaida?
Soma Pia: MO Dewji: Tangu 2018 nimewekeza Bilioni 87 Simba SC
Binafsi nadhani hakuna tajiri mjinga ambae kila mwaka atakubali kupoteza hela Yake Kama hapati faida......Mo amekomaa na Simba coz anapata faida, biashara zake zinaenda, Simba ni Brand kubwa ambayo kila tajiri nchini anatamani kuitumia leo asitufanye sisi kama watoto.
Ifike Muda matamko yakome, vitendo viongee, Simba kabla ya kupata hela ya Mo wanahitaji mfumo mpya wa katiba na viongozi Ila hawa wa Sasa sioni wakifanya Jambo".
Ameandika Mchambuzi Hans Rafael kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Kazumali na Oruma wao wanawachotaga mbumbumbu mbona usemi?Hans anawachotaga sana na nyie mnajaa as long as ana feed ego zenu
Na ndio mnaemtumia kwenye propaganda zenu za kishamba, well mta catch attention za mapimbi
Sasa kama ameshindwa kuendesha si aondoke awaachie wanaoweza kuiendesha? Anapata hasara but still bado kaganda nayo uku akitoa masimango Kila mwaka huo si utapeliWenye share 51% wao wanachangia nini?
Kuendesha Club ya mpira usifananishe na kodi ya meza unayoiacha asubuhi nyumbani
Mtu unaulizwa mo hana return ya anachowekeza?. Unaleta porojo.. bata kabisaWenye share 51% wao wanachangia nini?
Kuendesha Club ya mpira usifananishe na kodi ya meza unayoiacha asubuhi nyumbani
kwani uongo? gsm anamshinda kila kitu ponjoro wenu kwenye football,kutwa kulalamika anapata hasara.Huyo jamaa uto wanamuamini vibaya mno licha ya kutoa maboko kwenye taarifa zake nyingi ila huwaambii kitu yani kwa alipofikia hata akisema yanga imekamilisha usajili wa yamal au salah uto watamuamini tu, jamaa baada ya kuona anakosa tetesi za simba kwa sababu zinafanyika kwa siri anaamua kutunga uongo wake na mashabiki wa uto wanamuamini na kumpa bichwa kama hivyo, kila mchezaji anakuambia alitakiwa na simba ila kasajiliwa uto na kwamba eti vita ilikuwa kali kati ya mo na gsm ila mwisho wa siku gsm ndio kashinda basi mashabiki wa uto wakisikia hivyo wanafurahi kweli na kujifariji
Huyo tajiri wenu wa vipindi hana maneno mengi sababu anajua hizo pesa anatoa wapi ukizingatia serikali ya sasa ni ya kujilia kwa urefu wa kamba, kwani alikuwa wapi kipindi yanga inatembeza bakuli enzi za magufuli ambazo mafisadi waliisoma namba, ninyi tulieni tu siku nchi ikirudi kwa wananchi tutegemee vilio kurudi huko utopoloni simba haina wawekezaji mafisadi wanaotegemea uwepo wa serikali fulanikwani uongo? gsm anamshinda kila kitu ponjoro wenu kwenye football,kutwa kulalamika anapata hasara.
Mmh na je wanasema mo hatoi Hela,timu kuendesha sio Kaz ndogoTunachohoji ni hayo malalamiko na masimango yake ya kila mwaka kuhusu hasara,kama anapata hasara kwanini asikae pembeni awaachie wengine na kingine mbona anataja hela alizotoa tuu mbona haweki mapato na matumizi?
Mlitaka wenyewe kwa kutafuta firahq ya muda mfupiHuyu Kanjibai analeta dharau za waziwazi anatuona mang'oi sana
Huyo ndio Chawa wake hapa kwasasa baada ya OKW BOBAN SUNZU kususa baada ya kipigo cha YangaMtu unaulizwa mo hana return ya anachowekeza?. Unaleta porojo.. bata kabisa
Wewe unamtaka huyu?Mchambuzi wako pendwa huyo na sasa ndio Fabrizio wa hapo Jangwani
Tuachane na lugha za watu, ni mwaka upi yanga walitangaza kupata faida? Maana ninachokumbuka ni taarifa za hasara tu.Sawa lakini ilitakiwa iwe, "he knows the feeling of spending and getting loss" au sio jamaangu si tunaongelea uwingi na present continuous? Au loss ilitokea one time na haijatokea tena na haiwezi kutokea jalokuwa tajiri kila mwaka anasema hilo hilo?....
Kusema unapata hasara ni masimango? Huko uto mliambiwa hasara hadi mkaitwa wala mihogo mbona ham hamkuona ni masimango?Sasa kama ameshindwa kuendesha si aondoke awaachie wanaoweza kuiendesha? Anapata hasara but still bado kaganda nayo uku akitoa masimango Kila mwaka huo si utapeli
Mbona asemi anapata faida kiasi Gani? Yeye anaongelea hasara tu Kila mwaka,,mbumbumbu akili zenu ni lazima mangungu awaongoze miaka 100Kusema unapata hasara ni masimango? Huko uto mliambiwa hasara hadi mkaitwa wala mihogo mbona ham hamkuona ni masimango?
Mkuu daaah 😂😂😂 ngoja nakubali yaisheTuachane na lugha za watu, ni mwaka upi yanga walitangaza kupata faida? Maana ninachokumbuka ni taarifa za hasara tu.