Hans Rafael: Hakuna kipya alichoongea MO tofauti alichoongea msimu uliopita

Hans anawachotaga sana na nyie mnajaa as long as ana feed ego zenu

Na ndio mnaemtumia kwenye propaganda zenu za kishamba, well mta catch attention za mapimbi
Kama alivyotuchotaga kwenye sakata la derby
 

Yakitokea haya mambo kwako utakuwa busy sana na mambo ya msingi
1. Ukiolewa
2. Ukipata kazi
3. Ukiambiwa uhame hapo kwa dadayo ukaanze maisha.
 
Hans anawachotaga sana na nyie mnajaa as long as ana feed ego zenu

Na ndio mnaemtumia kwenye propaganda zenu za kishamba, well mta catch attention za mapimbi
Kazumali na Oruma wao wanawachotaga mbumbumbu mbona usemi?
 
Wenye share 51% wao wanachangia nini?

Kuendesha Club ya mpira usifananishe na kodi ya meza unayoiacha asubuhi nyumbani
Sasa kama ameshindwa kuendesha si aondoke awaachie wanaoweza kuiendesha? Anapata hasara but still bado kaganda nayo uku akitoa masimango Kila mwaka huo si utapeli
 
Wenye share 51% wao wanachangia nini?

Kuendesha Club ya mpira usifananishe na kodi ya meza unayoiacha asubuhi nyumbani
Mtu unaulizwa mo hana return ya anachowekeza?. Unaleta porojo.. bata kabisa
 
kwani uongo? gsm anamshinda kila kitu ponjoro wenu kwenye football,kutwa kulalamika anapata hasara.
 
kwani uongo? gsm anamshinda kila kitu ponjoro wenu kwenye football,kutwa kulalamika anapata hasara.
Huyo tajiri wenu wa vipindi hana maneno mengi sababu anajua hizo pesa anatoa wapi ukizingatia serikali ya sasa ni ya kujilia kwa urefu wa kamba, kwani alikuwa wapi kipindi yanga inatembeza bakuli enzi za magufuli ambazo mafisadi waliisoma namba, ninyi tulieni tu siku nchi ikirudi kwa wananchi tutegemee vilio kurudi huko utopoloni simba haina wawekezaji mafisadi wanaotegemea uwepo wa serikali fulani
 
Tunachohoji ni hayo malalamiko na masimango yake ya kila mwaka kuhusu hasara,kama anapata hasara kwanini asikae pembeni awaachie wengine na kingine mbona anataja hela alizotoa tuu mbona haweki mapato na matumizi?
Mmh na je wanasema mo hatoi Hela,timu kuendesha sio Kaz ndogo
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC.
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
27. Mbuzi SC.
 
Tuachane na lugha za watu, ni mwaka upi yanga walitangaza kupata faida? Maana ninachokumbuka ni taarifa za hasara tu.
 
Sasa kama ameshindwa kuendesha si aondoke awaachie wanaoweza kuiendesha? Anapata hasara but still bado kaganda nayo uku akitoa masimango Kila mwaka huo si utapeli
Kusema unapata hasara ni masimango? Huko uto mliambiwa hasara hadi mkaitwa wala mihogo mbona ham hamkuona ni masimango?
 
Kusema unapata hasara ni masimango? Huko uto mliambiwa hasara hadi mkaitwa wala mihogo mbona ham hamkuona ni masimango?
Mbona asemi anapata faida kiasi Gani? Yeye anaongelea hasara tu Kila mwaka,,mbumbumbu akili zenu ni lazima mangungu awaongoze miaka 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…