Yanga mnajiamini sana ,
Ila Mchezaj wenu aliye na Form nzuri so far ni Max na Mudadhir .
Wengne wanajitafuta.
Ila Simba ni hii
1. Camara
2. Kapombe
3. Hussein
4. Hamza
5. Che Malone
6. Kagoma
7. Kibu
8. Fernandes
9. Ateba
10. Ahoua
11. Mutale
Kwa Simba hapo ni Mutale tu ndio kama haeleweki, ila hao wengine ni moto sana[emoji23][emoji23][emoji23]