Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kiweke hicho hicho tuone kama kuna ongezeko loloteHata kikosi kilichocheza ngao ya jamii pia hakikuwa na magoli mengi na waliofungwa walishangilia kufungwa goli chache kama ilivyokuwa Kengold. Inawezekana team hizi mbili zinafanana uwezo