Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
"Matokeo haya ya Simba dhidi ya Coastal Union yanaifanya derby ya tarehe 19 kuwa ngumu sana, kama Simba wanahitaji chochote kitu msimu huu basi wanatakiwa kushinda mechi hiyo….lakini kama watakubali kupoteza basi watajikuta nyuma ya Yanga pointi 5 (kama Yanga watashinda kiporo).
Mnaweza kusema bado mapema ila mechi ya tarehe 19 imebeba hatima ya msimu mzima…..Yanga wakikuacha alama 5 siyo rahisi kuwapata tena."
—HANS RAFAEL (Mchambuzi CROWN FM)
Mnaweza kusema bado mapema ila mechi ya tarehe 19 imebeba hatima ya msimu mzima…..Yanga wakikuacha alama 5 siyo rahisi kuwapata tena."
—HANS RAFAEL (Mchambuzi CROWN FM)