Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Baada ya kwenda nchi zaidi ya 10 kufanya "fact finding" za kutazama wenzetu wanavyofanya na kula per diem za mamilioni wamegoma kuanzisha Bunge TV ambayo ingeonyesha shughuli mbali mbali za bunge including kamati mbali mbali kwa sababu wako bize kutoa statements za kukanusha mambo ya ufisadi
Mwanza idea ilikuwa ni kuanzisha something similiar to hii Parliament TV ya UK kama mnavyoona hapa chini:
http://news.bbc.co.uk/1/hi/programmes/bbc_parliament/default.stm
hii ni ajabu sana tena kutokea chini ya the mst flamboyant speaker tuliewahi kuwa naye...lakini la ajabu zaidi ni kuwa kupata hansards za bunge letu tukufu ni sawa na kutafuta jasho la mbu
tazameni wenzetu walivyo waz na wananchi waliowachagua
http://www.publications.parliament.uk/pa/cm/cmhansrd.htm
http://www.parliament.uk/
sasa bwana Saidi Yakubu kama upo hebu njoo hapa utuweke sawa kuhusus haya mambo matatu
1) Bunge Tv iliko ishia
2) Website ya bunge mbona imekuwa ngumu ku navigate
3) Mbona Hansards za bunge mnaficha? surely nilisikia mnafanya mambo ya data migration lakini hii mbona inachukua muda mrefu sana?
Lakini hii nalo linaleta hoja nyingine kuhusus wanafunzi wa Universities zetu ambao nimejaribu kufuatilia vyo vikuu vitatu..UD,ZNZ na UDOM wamesema hawana access to resources za Bunge
Haya tena Yakubu ingia kazini
nawasilisha