Hansard za bunge nazo siri?

Hansard za bunge nazo siri?

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Baada ya kwenda nchi zaidi ya 10 kufanya "fact finding" za kutazama wenzetu wanavyofanya na kula per diem za mamilioni wamegoma kuanzisha Bunge TV ambayo ingeonyesha shughuli mbali mbali za bunge including kamati mbali mbali kwa sababu wako bize kutoa statements za kukanusha mambo ya ufisadi

Mwanza idea ilikuwa ni kuanzisha something similiar to hii Parliament TV ya UK kama mnavyoona hapa chini:


http://news.bbc.co.uk/1/hi/programmes/bbc_parliament/default.stm


hii ni ajabu sana tena kutokea chini ya the mst flamboyant speaker tuliewahi kuwa naye...lakini la ajabu zaidi ni kuwa kupata hansards za bunge letu tukufu ni sawa na kutafuta jasho la mbu

tazameni wenzetu walivyo waz na wananchi waliowachagua


http://www.publications.parliament.uk/pa/cm/cmhansrd.htm


http://www.parliament.uk/

sasa bwana Saidi Yakubu kama upo hebu njoo hapa utuweke sawa kuhusus haya mambo matatu

1) Bunge Tv iliko ishia

2) Website ya bunge mbona imekuwa ngumu ku navigate

3) Mbona Hansards za bunge mnaficha? surely nilisikia mnafanya mambo ya data migration lakini hii mbona inachukua muda mrefu sana?



Lakini hii nalo linaleta hoja nyingine kuhusus wanafunzi wa Universities zetu ambao nimejaribu kufuatilia vyo vikuu vitatu..UD,ZNZ na UDOM wamesema hawana access to resources za Bunge

Haya tena Yakubu ingia kazini


nawasilisha
 
Bunge wanashindwa ku maintain site, ki site kinachukua saa mbili ku load, halafu info hamna, wewe unasema Hansard?

This is beyond pathetic.
 
Yakubu ni member na atakuja kutufahamisha zaidi

maana ndio damu mpya huko bungeni
 
Unajua mi nilidhani ni matatizo ya kompyuta yangu tu inanizingua maana imekuwa vigumu sana kupata mambo kwenye web site ya bunge siku hizi
 
Tanzania kila kitu ni siri. Inaboa kweli...Ndo maana ufisadi unaweza kutawala namna hii. Yani kutokuwa na uwazi = perfect environment ya Ufisadi kuchanua. Ni kama giza na viroboto, au wet and damp condition na mould.
 
Tanzania kila kitu ni siri. Inaboa kweli...Ndo maana ufisadi unaweza kutawala namna hii. Yani kutokuwa na uwazi = perfect environment ya Ufisadi kuchanua. Ni kama giza na viroboto, au wet and damp condition na mould.

siri ya niiiiiiiiiiiiiiiiiiniiii wakati wana jf WANAJUAAAAAAAAA
 
siri ya niiiiiiiiiiiiiiiiiiniiii wakati wana jf WANAJUAAAAAAAAA

Kwani JF ndo nchi? Mlishaambiwa, andikeni kwenye magazeti, hata kwenye tv. % ya watu walionavyo haiwezi kubadilisha matokeo. Sasa ndo useme internet? Kwanza wengi hapa wako nje ya nchi. Na ninavyojua mimi tz haina mfumo wa kupiga kura nje ya nchi. So it doesnt matter what JF knows...wat matters is the people.
 
Back
Top Bottom