Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Madharau na kiburi halafu mwanafunzi wake akaja kumpora wateja na wakamwacha na kiburi yakeNisher alikiki Sana cjui nini kimempoteza
Aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madharau na kiburi halafu mwanafunzi wake akaja kumpora wateja na wakamwacha na kiburi yakeNisher alikiki Sana cjui nini kimempoteza
Aiseee
Ilishindikanaje kwa huyo aliyemfukuza?Ukishoot video za diamond lazima dili za nje uzipate na za ndani
Ilishindikanaje kwa huyo aliyemfukuza?
Kuna watu walijua kuwekeza japo hawasifiwi kama AY na Cpwaa, walijitahidi sana hasa enzi hizo nyimbo za bongo kuchezwa na station kama MTv ilikuwa ni nadra, hawa jamaa wametengenezea sana njia wasanii kama Diamond kwenda internationalaisee video karibia zote za Zamani za Profesa J zilikuwa kali halafu tena kwa enzi zile
hata hanscana ni mwanafunzi wa Nisher kwa hiyo sio caseHuyu ni director mkubwa utashangaa kuna mbuzi walimfananisha na sijui Kenny yukwapi sasa? Kenny mwenyewe ni mwanafunzi wa hanscana
Naona jamaa anayemfuatia ni yule director anaitwa Elvis anajitahidi Sana.
Nisher pozi nyingi na ile kutokea familia ambayo inamuwezesha kuishi bila chenchi za video ndio imemcost pia.Nisher alikiki Sana cjui nini kimempoteza
Aiseee
Nisher mweupe kwenye video za kwenye giza. Mpaka sasa Adam Juma bado ni the best.Hamuwezi nisher huyo hata kidogo sema jamaa ana mashauzi mengi na yule ndo alikuwa mshindani wake halisi.
Nisher mweupe kwenye video za kwenye giza. Mpaka sasa Adam Juma bado ni the best.
Nyimbo kali ila video hazina kitu.
Nisher ndio alikuja kufanya Groundbreaking ya Video Productions bongo in the New era!nisher pozi nyingi na ile kutokea familia ambayo inamuwezesha kuishi bila chenchi za video ndio imemcost pia. Ila katika video directors waliokuja na kitu kipya na kumtikisa hata Adam Juma ni yeye. Zile shots zake za usiku, rangi za video na quality yake kiujumla ilikuwa kali. Angalia video kama nje ya box na Xo za weusi utaelewa jamaa anaweza kiasi gani
Wanaleta videos za nisher za zamani kuna kipindi alienda nje kwa ajili ya kujifunza hayo mambo ila aliporudi akapotea bila kufanya kazi nyingi na wabongo walivyo mazuzu wanajua video ili iwe nzuri ni lazima ing'ae na iwe na mwanga wa kutosha.Nisher ndio alikuja kufanya Groundbreaking ya Video Productions bongo in the New era!
Ndio mtu alikuja kututoa kwenye 360p na 480p alizokuwa anatamba nazo Adam Juma ambazo ni Standard Definition!
Nisher alituleta kwenye 720p HD na 1080p yani FullHD! Hapa ndipo mapinduzi yalitokea na kama Nisher angetulia angefanya kazi nyingi sana ila hakudumu zaidi ya mwaka na nusu akapotea sababu ya mashauzi.
na angetuliza kichwa bhasi angekuwa legendary wa kizazi kipya, no hard feelings ila hanscana ni kama upepo umemgeukia ila kwenye kuleta taste au kitu flani cha kumkumbukia ni kama hakunaNisher ndio alikuja kufanya Groundbreaking ya Video Productions bongo in the New era!
Ndio mtu alikuja kututoa kwenye 360p na 480p alizokuwa anatamba nazo Adam Juma ambazo ni Standard Definition!
Nisher alituleta kwenye 720p HD na 1080p yani FullHD! Hapa ndipo mapinduzi yalitokea na kama Nisher angetulia angefanya kazi nyingi sana ila hakudumu zaidi ya mwaka na nusu akapotea sababu ya mashauzi.
hata ya pili ni kama walifuata tu lightings bhasi lakini haikuwa na maajabu. Ile ya kwanza hata na yenyewe haikuwa mbaya kihivyo labda tu kama weusi walichoka idea zile zile za night kali, video vixen wenye mahaga na moto ambayo ilikuwa kama signature au identity ya nisherMfano ile arosto ya gnacko nisher alitoa boko kinoma ilikuwa usiku so G akaenda tena kushoot kwa hanscana ikawa good.
Jamaa wa hapo wanene anaitwa destro katulia Sana.na angetuliza kichwa bhasi angekuwa legendary wa kizazi kipya, no hard feelings ila hanscana ni kama upepo umemgeukia ila kwenye kuleta taste au kitu flani cha kumkumbukia ni kama hakuna
kuna jamaa pia wa wanene entertainment, ile kampuni ipo underrated ila ukiangalia video zao kwa ubora wa picha na creativity wapo vizuri mfano video ya Aslay rudi darasani na karibia zote za chin bees. Very good videos
yupo vizuriJamaa wa hapo wanene anaitwa destro katulia Sana.
Kwelikuna watu walijua kuwekeza japo hawasifiwi kama AY na Cpwaa, walijitahidi sana hasa enzi hizo nyimbo za bongo kuchezwa na station kama MTv ilikuwa ni nadra, hawa jamaa wametengenezea sana njia wasanii kama Diamond kwenda international
Ukizeeka lazima uwe mchawiHuyu Hansacana ndo nani kwa sisi tusiyefahamu hiyo aka? Au ni Jose, yule mtoto wa Tabata alijiyekuwa anacheza cheza pale kwenye studio ya Makata, mtaa huo huo aliokulia?
Zilikuwa nzuri ila zilikuwa zinaufake mwingi, Hanscana alikuja kutake over baada ya kuonekana video zake ziko so naturalnisher pozi nyingi na ile kutokea familia ambayo inamuwezesha kuishi bila chenchi za video ndio imemcost pia. Ila katika video directors waliokuja na kitu kipya na kumtikisa hata Adam Juma ni yeye. Zile shots zake za usiku, rangi za video na quality yake kiujumla ilikuwa kali. Angalia video kama nje ya box na Xo za weusi utaelewa jamaa anaweza kiasi gani
Acha utani bro, huo upepo gani unavuma zaidi ya miaka mitano?na angetuliza kichwa bhasi angekuwa legendary wa kizazi kipya, no hard feelings ila hanscana ni kama upepo umemgeukia ila kwenye kuleta taste au kitu flani cha kumkumbukia ni kama hakuna
kuna jamaa pia wa wanene entertainment, ile kampuni ipo underrated ila ukiangalia video zao kwa ubora wa picha na creativity wapo vizuri mfano video ya Aslay rudi darasani na karibia zote za chin bees. Very good videos
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu hanscana (20's) ni dogo sana ila title alonayo, mwijaku akasome