Hanscana music video director "wa moto" zaidi Nchini

aisee video karibia zote za Zamani za Profesa J zilikuwa kali halafu tena kwa enzi zile
Kuna watu walijua kuwekeza japo hawasifiwi kama AY na Cpwaa, walijitahidi sana hasa enzi hizo nyimbo za bongo kuchezwa na station kama MTv ilikuwa ni nadra, hawa jamaa wametengenezea sana njia wasanii kama Diamond kwenda international
 
Huyu ni director mkubwa utashangaa kuna mbuzi walimfananisha na sijui Kenny yukwapi sasa? Kenny mwenyewe ni mwanafunzi wa hanscana

Naona jamaa anayemfuatia ni yule director anaitwa Elvis anajitahidi Sana.
hata hanscana ni mwanafunzi wa Nisher kwa hiyo sio case

Hanscana upepo ni wa kwake ile kwenye creativity kenny anajitahidi pia.

Weka mahaba pembeni halafu angalia video kama moyo ya Vanessa au Bear tamu ya Marioo, ukisema jamaa hawezi itakuwa umeamua tu
 
Nisher alikiki Sana cjui nini kimempoteza
Aiseee
Nisher pozi nyingi na ile kutokea familia ambayo inamuwezesha kuishi bila chenchi za video ndio imemcost pia.

Ila katika video directors waliokuja na kitu kipya na kumtikisa hata Adam Juma ni yeye. Zile shots zake za usiku, rangi za video na quality yake kiujumla ilikuwa kali.

Angalia video kama nje ya box na Xo za weusi utaelewa jamaa anaweza kiasi gani
 
Huyu Hansacana ndo nani kwa sisi tusiyefahamu hiyo aka? Au ni Jose, yule mtoto wa Tabata alijiyekuwa anacheza cheza pale kwenye studio ya Makata, mtaa huo huo aliokulia?
 
nisher pozi nyingi na ile kutokea familia ambayo inamuwezesha kuishi bila chenchi za video ndio imemcost pia. Ila katika video directors waliokuja na kitu kipya na kumtikisa hata Adam Juma ni yeye. Zile shots zake za usiku, rangi za video na quality yake kiujumla ilikuwa kali. Angalia video kama nje ya box na Xo za weusi utaelewa jamaa anaweza kiasi gani
Nisher ndio alikuja kufanya Groundbreaking ya Video Productions bongo in the New era!

Ndio mtu alikuja kututoa kwenye 360p na 480p alizokuwa anatamba nazo Adam Juma ambazo ni Standard Definition!

Nisher alituleta kwenye 720p HD na 1080p yani FullHD! Hapa ndipo mapinduzi yalitokea na kama Nisher angetulia angefanya kazi nyingi sana ila hakudumu zaidi ya mwaka na nusu akapotea sababu ya mashauzi.
 
Wanaleta videos za nisher za zamani kuna kipindi alienda nje kwa ajili ya kujifunza hayo mambo ila aliporudi akapotea bila kufanya kazi nyingi na wabongo walivyo mazuzu wanajua video ili iwe nzuri ni lazima ing'ae na iwe na mwanga wa kutosha.

ndio wamezoeshwa na diamond hvyo ila huwezi kukuta msanii kama wizkid anatoa clear video nyingi zinakuwa na giza ila ndio best video hata huko ulaya ndo zinakuwa hvyo sasa mtu anataka video iwe clear ndio iwe nzuri.
 
Nisher ndio alikuja kufanya Groundbreaking ya Video Productions bongo in the New era!

Ndio mtu alikuja kututoa kwenye 360p na 480p alizokuwa anatamba nazo Adam Juma ambazo ni Standard Definition!

Nisher alituleta kwenye 720p HD na 1080p yani FullHD! Hapa ndipo mapinduzi yalitokea na kama Nisher angetulia angefanya kazi nyingi sana ila hakudumu zaidi ya mwaka na nusu akapotea sababu ya mashauzi.
na angetuliza kichwa bhasi angekuwa legendary wa kizazi kipya, no hard feelings ila hanscana ni kama upepo umemgeukia ila kwenye kuleta taste au kitu flani cha kumkumbukia ni kama hakuna

kuna jamaa pia wa wanene entertainment, ile kampuni ipo underrated ila ukiangalia video zao kwa ubora wa picha na creativity wapo vizuri mfano video ya Aslay rudi darasani na karibia zote za chin bees. Very good videos
 
Mfano ile arosto ya gnacko nisher alitoa boko kinoma ilikuwa usiku so G akaenda tena kushoot kwa hanscana ikawa good.
hata ya pili ni kama walifuata tu lightings bhasi lakini haikuwa na maajabu. Ile ya kwanza hata na yenyewe haikuwa mbaya kihivyo labda tu kama weusi walichoka idea zile zile za night kali, video vixen wenye mahaga na moto ambayo ilikuwa kama signature au identity ya nisher
 
na angetuliza kichwa bhasi angekuwa legendary wa kizazi kipya, no hard feelings ila hanscana ni kama upepo umemgeukia ila kwenye kuleta taste au kitu flani cha kumkumbukia ni kama hakuna

kuna jamaa pia wa wanene entertainment, ile kampuni ipo underrated ila ukiangalia video zao kwa ubora wa picha na creativity wapo vizuri mfano video ya Aslay rudi darasani na karibia zote za chin bees. Very good videos
Jamaa wa hapo wanene anaitwa destro katulia Sana.
 
kuna watu walijua kuwekeza japo hawasifiwi kama AY na Cpwaa, walijitahidi sana hasa enzi hizo nyimbo za bongo kuchezwa na station kama MTv ilikuwa ni nadra, hawa jamaa wametengenezea sana njia wasanii kama Diamond kwenda international
Kweli
 
Huyu Hansacana ndo nani kwa sisi tusiyefahamu hiyo aka? Au ni Jose, yule mtoto wa Tabata alijiyekuwa anacheza cheza pale kwenye studio ya Makata, mtaa huo huo aliokulia?
Ukizeeka lazima uwe mchawi
 
nisher pozi nyingi na ile kutokea familia ambayo inamuwezesha kuishi bila chenchi za video ndio imemcost pia. Ila katika video directors waliokuja na kitu kipya na kumtikisa hata Adam Juma ni yeye. Zile shots zake za usiku, rangi za video na quality yake kiujumla ilikuwa kali. Angalia video kama nje ya box na Xo za weusi utaelewa jamaa anaweza kiasi gani
Zilikuwa nzuri ila zilikuwa zinaufake mwingi, Hanscana alikuja kutake over baada ya kuonekana video zake ziko so natural
 
na angetuliza kichwa bhasi angekuwa legendary wa kizazi kipya, no hard feelings ila hanscana ni kama upepo umemgeukia ila kwenye kuleta taste au kitu flani cha kumkumbukia ni kama hakuna

kuna jamaa pia wa wanene entertainment, ile kampuni ipo underrated ila ukiangalia video zao kwa ubora wa picha na creativity wapo vizuri mfano video ya Aslay rudi darasani na karibia zote za chin bees. Very good videos
Acha utani bro, huo upepo gani unavuma zaidi ya miaka mitano?
 
Back
Top Bottom