Hao wahehe wanaojinyonga wako wapi, nilikaa Iringa ila mbona nilikuwa sisiki haya mambo?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Niliwahi kukaa Iringa hapo kwa miaka kama miwili,

Katika vitu nilovyokuwa na shauku ya kuvihakikisha ni ule usemi wa wahehe kusifika kujinyonga.

Nilitegemea kusikia habari za kujinyonga kila wiki ila nilichoambulia kwa muda huo wote kuna mwanafunzi alijinyonga kitu ambacho hakikunistua.
 
Nilichohitimisha ni kwamba historia ya wakati ule Mkwawa akipigana na Wajerumani, alipozingirwa akaona hawezi kutoka akaamua kujiua kuliko kukamatwa na Wajerumani ndio ikapewa sifa kwa wahehe wote.
 
Hizi ni illusion na zili exist wayback sana
 
Wa sikuhizi hawajinyongi be! ingawa bado kale kamzimu ka babu yao wa kalenga bado kanawawinda
 
Niliwahi kukaa Iringa hapo kwa miaka kama miwili,

Nilikuwa najiuliza sana hizo habari za kujinyonga huwa zinakuzwa au ni vipi
Nadhani zilikuzwa tu na historia ya wakati ule Mkwawa akipigana na Wajerumani. Alipozingirwa akaona hawezi kutoka akaamua kujiua kuliko kukamatwa na Wajerumani.
 
Niliwahi kukaa Iringa hapo kwa miaka kama miwili,

Katika vitu nilovyokuwa na shauku ya kuvihakikisha ni ule usemi wa wahehe kusifika kujinyonga.

Nilitegemea kusikia habari za kujinyonga kila wiki ila nilichoambulia kwa muda huo wote ni mwanafunzi moja tu alijinyonga kitu ambacho hakikunistua.

Nilichohitimisha ni kwamba historia ya wakati ule Mkwawa akipigana na Wajerumani, alipozingirwa akaona hawezi kutoka akaamua kujiua kuliko kukamatwa na Wajerumani ndio ikapewa sifa kwa wahehe wote.
Ulikaa iringa sehemu gani. Rudi tena
 
Nilichohitimisha ni kwamba historia ya wakati ule Mkwawa akipigana na Wajerumani, alipozingirwa akaona hawezi kutoka akaamua kujiua kuliko kukamatwa na Wajerumani ndio ikapewa sifa kwa wahehe wote.
Alikuwa mwoga
Alitakiwa akubali kuwa mateka tu
 
Alikuwa mwoga
Alitakiwa akubali kuwa mateka tu

acha masikara mkuu, kumbuka hao wajerumani sehemu zingine walikuwa wanapenya tu, makabila mengi hayakuweza kupigana na mjerumani ila Mkwawa alithubutu kuwa surprise,
 
Hakuna cha maana alichofanya bora angewaacha tu
 
Back
Top Bottom