Umekaa iringa sehemu gani?Niliwahi kukaa Iringa hapo kwa miaka kama miwili,
Nilikuwa najiuliza sana hizo habari za kujinyonga huwa zinakuzwa au ni vipi
Nadhani zilikuzwa tu na historia ya wakati ule Mkwawa akipigana na Wajerumani. Alipozingirwa akaona hawezi kutoka akaamua kujiua kuliko kukamatwa na Wajerumani.Niliwahi kukaa Iringa hapo kwa miaka kama miwili,
Nilikuwa najiuliza sana hizo habari za kujinyonga huwa zinakuzwa au ni vipi
Ulikaa iringa sehemu gani. Rudi tenaNiliwahi kukaa Iringa hapo kwa miaka kama miwili,
Katika vitu nilovyokuwa na shauku ya kuvihakikisha ni ule usemi wa wahehe kusifika kujinyonga.
Nilitegemea kusikia habari za kujinyonga kila wiki ila nilichoambulia kwa muda huo wote ni mwanafunzi moja tu alijinyonga kitu ambacho hakikunistua.
Nilichohitimisha ni kwamba historia ya wakati ule Mkwawa akipigana na Wajerumani, alipozingirwa akaona hawezi kutoka akaamua kujiua kuliko kukamatwa na Wajerumani ndio ikapewa sifa kwa wahehe wote.
Alikuwa mwogaNilichohitimisha ni kwamba historia ya wakati ule Mkwawa akipigana na Wajerumani, alipozingirwa akaona hawezi kutoka akaamua kujiua kuliko kukamatwa na Wajerumani ndio ikapewa sifa kwa wahehe wote.
Hakuna cha maana alichofanya bora angewaacha tuacha masikara mkuu, kumbuka hao wajerumani sehemu zingine walikuwa wanapenya tu, makabila mengi hayakuweza kupigana na mjerumani ila Mkwawa alithubutu kuwa surprise,