Habari WanaJamiiForums
Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi.
Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini nianakosea hajawi kuapriciate chochote nifanyacho lazima akosoe tu.
Ana tabia ya kucheat nimeamua kukaa kimya napo anaona namdharau anafanya mambo yake kwa uwazi mpaka watoto wanaona na yanawathiri najiuliza hii ni ndoa au ndoano?