Hapa bado ndoa ipo au nimebakia na ndoano?

Hapa bado ndoa ipo au nimebakia na ndoano?

Mfano wa hayo mambo ambayo mume wako haya appreciate kutoka kwako, toa mfano Ili tupime uzito wa maneno yako vizuri.
 
Habari WanaJamiiForums

Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi.

Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini nianakosea hajawi kuapriciate chochote nifanyacho lazima akosoe tu.

Ana tabia ya kucheat nimeamua kukaa kimya napo anaona namdharau anafanya mambo yake kwa uwazi mpaka watoto wanaona na yanawathiri najiuliza hii ni ndoa au ndoano?
Wewe hujawai kucheat ndani ya hiyo ndoa?
 
Mfano wa hayo mambo ambayo mume wako haya appreciate kutoka kwako, toa mfano Ili tupime uzito wa maneno yako vizuri.
Nafanya biashara ila siku ni kuibeza,kuna wakati tulikua tunajenga nikawa nasimamia ujenzi akija anasema umeachia mafundi wameiba simenti halafu imepunjika kwenye ujenzi unamwagilia anakwambia hujamwagilia vizuri,mtoto labda ameumwa hata homa anakwambia watoto huwapi chakula kizuri ndio maana wanaumwa hapo hataki wale mboga za majani,ndizi,ugali wala maharage
 
Miaka kumi kwenye ndoa vumilia tu mama uku Sisi vijana tutakukula mbususu na hatutakuoa maana tulishakubalia kwenye vikao vyetu kuwa hatuoi single mama ila tuwale mbususu tu mpaka waseme ili walioko kwa mabwana zao wajifunze na watulize makomwe yao uko uko kwa waume zao

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hata sina hamu tena na wanaume kiungo cha uzazi kimekufa ganzi saa hii nawaza watoto wangu tuu
 
Habari WanaJamiiForums

Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi.

Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini nianakosea hajawi kuapriciate chochote nifanyacho lazima akosoe tu.

Ana tabia ya kucheat nimeamua kukaa kimya napo anaona namdharau anafanya mambo yake kwa uwazi mpaka watoto wanaona na yanawathiri najiuliza hii ni ndoa au ndoano?
Dada wewe ni mnyiramba?
 
Back
Top Bottom