Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alianza 'kuKUsumbua' ndoa ikiwa na umri gani?ndoa ya miaka kumi
Sijakuelewa....Kumbe.upo nasikia unawatoto 6.mmoja tu ndo wakiume umeoa na unakula maisha na masikio yako
Wewe hujawai kucheat ndani ya hiyo ndoa?Habari WanaJamiiForums
Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi.
Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini nianakosea hajawi kuapriciate chochote nifanyacho lazima akosoe tu.
Ana tabia ya kucheat nimeamua kukaa kimya napo anaona namdharau anafanya mambo yake kwa uwazi mpaka watoto wanaona na yanawathiri najiuliza hii ni ndoa au ndoano?
upo tayari kusuluhisha?Tumsikilize na mumeo sasa tujue na yako maana hujaeleza
Ila watoto wanatesema jamani...the emotional torture acha kabisa.atakwambia for the sake of our children 😌😌
kazi kazi,, muhimu uzimaIla watoto wanatesema jamani...the emotional torture acha kabisa.
Hujazaa weye...alafu unaonekana una roho ya kikatilikazi kazi,, muhimu uzima
Nimejaribu kufanya hivo hahitaji anasema hakuna wa kumbadilisha yaani ni ana dharau mfano hakunaupo tayari kusuluhisha?
SijawahiWewe hujawai kucheat ndani ya hiyo ndoa?
Miaka mitatu nyumaAlianza 'kuKUsumbua' ndoa ikiwa na umri gani?
Nafanya biashara ila siku ni kuibeza,kuna wakati tulikua tunajenga nikawa nasimamia ujenzi akija anasema umeachia mafundi wameiba simenti halafu imepunjika kwenye ujenzi unamwagilia anakwambia hujamwagilia vizuri,mtoto labda ameumwa hata homa anakwambia watoto huwapi chakula kizuri ndio maana wanaumwa hapo hataki wale mboga za majani,ndizi,ugali wala maharageMfano wa hayo mambo ambayo mume wako haya appreciate kutoka kwako, toa mfano Ili tupime uzito wa maneno yako vizuri.
Hata usipoamini pia sikulazimishi kuamini nduguNa wewe unaamini maneno ya huyu mama?
#YNWA
AsanteePole
Hata mm naona nimejitahidi kudai talaka hataki kutoa sasa nimeamua tu kufanya yangu yaani ni kujitafuta kwaajili ya wananguNdoa ilishakufa japo bado mnaishi pamoja
Yaani angekua anakubali ningemleta humu mumsikilize na yeye maana mpaka nduguze wanamsema ana kiburiKesi isikilizwe pande zote
Hata sina hamu tena na wanaume kiungo cha uzazi kimekufa ganzi saa hii nawaza watoto wangu tuuMiaka kumi kwenye ndoa vumilia tu mama uku Sisi vijana tutakukula mbususu na hatutakuoa maana tulishakubalia kwenye vikao vyetu kuwa hatuoi single mama ila tuwale mbususu tu mpaka waseme ili walioko kwa mabwana zao wajifunze na watulize makomwe yao uko uko kwa waume zao
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Dada wewe ni mnyiramba?Habari WanaJamiiForums
Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi.
Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini nianakosea hajawi kuapriciate chochote nifanyacho lazima akosoe tu.
Ana tabia ya kucheat nimeamua kukaa kimya napo anaona namdharau anafanya mambo yake kwa uwazi mpaka watoto wanaona na yanawathiri najiuliza hii ni ndoa au ndoano?