Hapa bongo kuna watu wanaishi kama Ulaya

Halafu unakuta wenye majengo hayo hawakai nyumbani. Jioni utamkuta baa yuko kwenye viti vya plastiki anapiga stori na bamedi, nyumbani kaacha sofa nzuri tu
Nyumba haikaliki kutakua na majini [emoji1787][emoji1787][emoji1787], ukisema mke mwanaume usishindwe kujenga amani kwako ni udhaifu
 
Vijana wanataka wanawake wazuri wakati ni wavivu hawatafuti mali [emoji23][emoji23][emoji23]

Huo ndio ujinga

Halafu wakimpata huyo mzuri kama zali wanashindwa kumtunza hadi siku akirudi kwao wazazi wanamsahau

Kuna mmoja kamchakaza binti wa watu hadi huruma..... sio kwa chakula wala kwa mavazi! Binti kazeeka ndani ya mwaka mmoja tuu.

Nikamuuliza mume, hivi wewe ungemkuta huyu binti kwa wazazi wake akiwa na muonekano huu alionao sasa ungemuoa!?
 
Mimi nikiweza kujenga gheto self contained, ndani nikaweka sabufa na TV flat (40 inches), friji , mtungi wangu wa gesi, basi inatosha hiyo ndio itakuwa Ulaya yangu[emoji1787]
Na vile ukiwa kwny hyo selfu afu unavuta ganja aaaaaaah mbna utaona ulaya si kitu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dzain kama kweli hv
 
Money can buy a house but not a home. Ni kosa kabisa kusema kuna watu wana furaha kwa kutumia kigezo cha gharama ya nyumba anayoishi
 
Ganya KAZI kwa BIDII SANA

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Aisee, usije kujiua
 
Nikiwa zangu nakimbia jogging nikifika kwenye huu mjengo huwa nautazama sn..kijichi kuna watu Wana hela banaView attachment 1815319
Kuna ilen
Njia inatokea chekechea inapita kota za nssf ziile ghorofa.

Kuna watu wanapesa na nakiri kuwa sijawah ona sehemu smart dar es salaam hii kama kuule aisee.

Road safi,mataa, mijengo, utulivu... Nyumba classic..... Kuna jamaa kajenga mnara wa tank za maji km ghorofa ya kukaa watu mamamamae jau saana
 
Mitaa ya ghorofa za nssf nakumbuka ndy mitaa ambayo ROSTAM ft Nay wa mitego walifanya video Yao

Ni moja Kati ya barabara Bora kabisa Dar es salaam..pale ukiwa na gari unaendesha hata speed 180/hr bila tatizo..kule ni ushuani sn mkuu,kuna jamaa mitaa ya miande anauza kiwanja milioni 200 !!!
 
Yah nilishawah kuuliza sehemu nikakuta 50 kwa 100 milioni 250.... Niliishiwa pozi.

Kule ni msala aiseee kuna bar inautwa kingazi. Nouma.

Na sipati picha zile nyumba zikianza kutumika za nssf
 
Duh Ile sehemu ni nzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…