babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
We bana kila mtu aenjoy alichonacho, nini Buza kuna siku nilikua masaki ya Chanika ndanindani huko kuna kakijiji kana nyumba kama tano tu lakini masela wapo nje kwenye viti vya magogo wamekaa wanapiga gongo yao kiroho safi tu halafu wamefurahi sana hadi nikawaonea wivu hilo life laoNjoo kwangu buza huku ujionee tunaosindikiza wenzetu!!
Huku tukijipa raha wenyewe!!!
Sent using Jamii Forums mobile app