babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
We bana kila mtu aenjoy alichonacho, nini Buza kuna siku nilikua masaki ya Chanika ndanindani huko kuna kakijiji kana nyumba kama tano tu lakini masela wapo nje kwenye viti vya magogo wamekaa wanapiga gongo yao kiroho safi tu halafu wamefurahi sana hadi nikawaonea wivu hilo life laoNjoo kwangu buza huku ujionee tunaosindikiza wenzetu!!
Huku tukijipa raha wenyewe!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeuona mjengo wa Kiduku Lilo?
Tatizo la Bongo nyumba ikianza kuungua moto Fire Brigade mpaka watoke Bandarini au Airport wafike Oysterbay nyumba ishateketea.
Unapofananisha Bongo na Ulaya usifananishe majengo tu.
Angalia miundombinu pia.
Hao ndio wanaishi, sisi tunadumu tu.
Hayo yalimkuta ndugu yangu alipokuta mlinzi aliishi vizuri lakini ilitokea zari akafanya issue Mija akapata Kama mil80 Basi alipagawa Kila demu alimtaka Yeye ,kwa Sasa hatunae Tena alukufa kwa ngomaShukuru Mungu kwa kila jambo,saa nyingine Muumba anajua kuwa ungekuwa na hela saa hizi ungeshakuwa umekufa,kwahiyo ili kukunusuru ni bora uishi hivyo hivyo kiugumu...
Siku hizi wanakata kata viwanja.
Hiyo nyumba ya Bakhressa pale zamani lilikuwa shamba la mchicha la Shule ya Msingi Oysterbay.
Oysterbay siku hizi imekuwa ovyo sana wameweka mpaka gereji za magari, last time nilipofika nikashangaa barabara zilikuwa mbovu sana, pale shuleni.
Sijui kama sasa hivi wametengeneza.
Baada ya moratorium ya Mkapa ya kuuza nyumba kupita it will get even worse.
ndio maisha hayo mkuu ,magap lazima
Askofu Kakobe's kraal [emoji344][emoji344]View attachment 1815202
Halafu unakuta wenye majengo hayo hawakai nyumbani. Jioni utamkuta baa yuko kwenye viti vya plastiki anapiga stori na bamedi, nyumbani kaacha sofa nzuri tu
Mimi nikiweza kujenga geto self contained , ndani nikaweka sabufa na tv flat (40 inches), friji , mtungi wangu wa gesi, basi inatosha hiyo ndio itakuwa ulaya yangu[emoji1787]
Mkuu.Mjomba unaongelea fire ni km unaulizia makofi na mbata polisi nikisema km ulaya jua nmemaanisha nmekutana na fire imepaki na nyingn iko road mitaa hiyo hyo yan pale ukipotea njia huwez pata mtu wa kumuuliza mzee labda uende kwa walinz magetin,kwel makamu wa rais anapokaa wakina mo dewj fire ikosekane
Mkuu.
Mimi ninavyosema hivyo nimekaa Oysterbay, na hao viongozi, na kulikuwa hakuna Fire Brigade services.
Labda kama wameleta miaka hii ya karibuni. Kwa sababu nimeondoka kitambo.
Umebaki wewe tu
Asante kwa taarifa. Hii huduma muhimu.Sas mm ndio nakupasha mkuu nmekutana nayo tena mbili katika road mbili tofaut maeneo hayo kelele zinazosikika ni za ndege tu na magar
Nataman kuwa na nyumba kali.
Demu wangu asingeniacha kirahisi vile.