uvugizi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,351
- 1,100
Hapa Burundi Kuna kinywaji kinaitwa Balthazar wanaume wengi Sana wanapenda kunywa . Hata kina mama wanawashauri waume zao kwenda kunywa.
Siku moja katika pita pita zangu nilikutana na mama mmoja akaniambia inabidi uwe unakunywa Balthazar nikamwambia ipo vipi ? , off course alinipeleka katika vijiwe kama vya kahawa MAENEO ya Bwiza . Kabla ya kunywa niliuliza concoctions ikoje .
Actually wanachukua alovera ,maganda ya limao ,Tangawizi ,kitunguu swaumu wanavichemsha Kwa pamoja . Baadaye wanachuja unakunywa kikombe ni Bf 1000 . Kwa kweli ukinywa vikombe viwili unasikia Hali Fulani ya ukakamavu wa kiume .
Wengine wanachanga na green tea from Rwanda almaarufu kama teveri ( the vert). Baada ya hapo mnazi mnazi mwanzo mwisho .