Hapa Dodoma kuna watu washambashamba sana wanajifanya wapelelezi

πŸ˜‚πŸ˜‚
Nipo nakula zangu supu ya mapupu hapa upinde midude imevaa makofia meusi yasiyo na logo na mashati ya mikono mirefu yenye mauamaua inabugudhi wateja maeneo ya Bata. Shensi kabhisa

Munapoteza muda kuigiza vile msivyo mmekosa cha kufanya akina matonya?!

Polisi kamata hawa chapa viboko hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…