Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Wamevaa vikofia vyeusi kwenye maeneo ya starehe wana act kishamba shamba sana. Walugaluga wakubwa, ushamba sana.
Oya we mgogo eh waambie ndugu zako!?😄Washamba haswaa! Kuna mmoja aliingia ukumbini na miatu yake oversized View attachment 3221666
Hapo Dom kila mtu ni Afisa Kipenyo till proven otherwiseWamevaa vikofia vyeusi kwenye maeneo ya starehe wana act kishamba shamba sana. Walugaluga wakubwa, ushamba sana.
Rainbow bonge la kiwanja, nikiwaga Dom huwa napozi pale, wabunge wanakuja kutafuta mademu pale.Nipo nakula zangu supu hapa upinde midude imevaa makofia meusi yasiyo na logo na mashati ya mikono mirefu yenye mauamaua inabugudhi wateja maeneo ya Bata. Shensi kabhisa
Munapoteza muda kuigiza vile msivyo mmekosa cha kufanya akina matonya?!
HahahahaHapo Dom kila mtu ni Afisa Kipenyo till proven otherwise
"mumoja",,,kumbe wa mrundi ndio maana wanakuzingua.Hawa unakamata unacharaza viboko 12 12 kila mumoja
Mimi pia nipo Burundi nishachukua uraia kipindi kile tunafukuzwa na Madelu Rais wa mawe.Kwamba natokea Bujumbura?!