my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Hivi hapa duniani unadhani ni kitu gani kilitakiwa kiwe bure ila ndo kinauzwa lakini hakistahiki kuuzwa. Kinatakiwa kitolewe bure kwa kila anaehitaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hapa duniani unadhani ni kitu gani kilitakiwa kiwe bure ila ndo kinauzwa lakn hakistahiki kuuzwa. Kinatakiwa kitolewe bure kwa kila anaehitaji?
Umeambiwa kitu kiuzwacho ili hali kilipaswa kuwa bure, Jua linauzwa ?Umepewa Jua bureee
Umepewa oxygen buureee japo delta akichachamaa lazima uilipie
Unataka uongezewe na vingine bure tena?
Nami nimetaja vitu alivuo pewa bure kuna mahali nimesema jua linauzwa?Umeambiwa kitu kiuzwacho ili hali kilipaswa kuwa bure, Jua linauzwa ?
Uroda ni nini?Uroda ilibd iwe bure
.Uroda ni nini?