Hapa duniani kitu gani kilitakiwa kiwe bure?

Hapa duniani kitu gani kilitakiwa kiwe bure?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Hivi hapa duniani unadhani ni kitu gani kilitakiwa kiwe bure ila ndo kinauzwa lakini hakistahiki kuuzwa. Kinatakiwa kitolewe bure kwa kila anaehitaji?
 
Umepewa Jua bure

Umepewa oxygen buureee japo delta akichachamaa lazima uilipie.

Unataka uongezewe na vingine bure tena?
 
Umepewa Jua bureee
Umepewa oxygen buureee japo delta akichachamaa lazima uilipie
Unataka uongezewe na vingine bure tena?
Umeambiwa kitu kiuzwacho ili hali kilipaswa kuwa bure, Jua linauzwa ?
 
Back
Top Bottom