Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeielekeza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Saadani kuandaa mpango mahususi wa kuainisha maeneo ya uwekezaji ili kuvutia wawekezaji.
Karibu utalii nami
Twenzetu Kutalii bagamoyo ndani ya tarehe 01/04/2024 kwa gharama ya Tsh 65,000/= safari yetu itaanzia Mlimani City_Dar es Salaam.
👉Usafiri kwenda na kurudi kutokea DAR
👉Chakula (Breakfast & Lunch)
👉Vinywaji
👉Kupanda Boat
👉Kuogelea
👉Michezo ya ufukweni
👉Kupiga picha
👉Burudani
👉Kutembelea maeneo mbalimbali ndani ya fukwe za horizon
👉Na shughuli nyinginezo.
Fanya booking sasa kabla nafasi hazijaisha.
Call/WhatsApp, +255622174613
Twenzetu kutalii