1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #61
Nliwazoea, so ilikuwa kama burudani flani iviii, baada ya uchovu ukija pitia bebishana zao full kucheka,,mtoa mada unatakaje ziendelee au ibaki hivi ilivyo?
HahahahahHuu Uzi kwa week end hii ,halafu unazimua zimua za Jana ,mzuri sana
MTC | 101| [emoji769]
Nimekufurahisha ee salamu zimefika mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msalimie G
Hata mi siamini mtu chakeHahaha, siamini
MTC | 101| [emoji769]
Wewe zinakufurahsha wengine zinawaumiza na kuona wivu wanaishia kutoa povuNliwazoea, so ilikuwa kama burudani flani iviii, baada ya uchovu ukija pitia bebishana zao full kucheka,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mi siamini mtu chake
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
Nliwazoea, so ilikuwa kama burudani flani iviii, baada ya uchovu ukija pitia bebishana zao full kucheka,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa, nlikuwa nacheka ukisema " nakojoa"Wewe zinakufurahsha wengine zinawaumiza na kuona wivu wanaishia kutoa povu
Kwanza mambo mengi pia yanachangia hili jukwaa limepoaa wamebaki kina ndege john [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
Nlikuwa na enjoy sana zile back to back,,Hahahaha, kwa kweli hata mie nilikua nazipenda, Crush Meseji
MTC | 101| [emoji769]
Siku hizi limepoa kabisa, asa sisi tukioji tunaonekana tofauti,, kulikuwa na umoja flani ivi ,,,Hahahaha
Zilinifanya nilipende hili jukwaa
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha Mkuu vichwa maji[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah aiseeehwamefumia kitambaa zile nyuzi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hamna kitu mwanamke yoyote anakipenda hapa dunian kama Kumuonyesha mbele za watu kua unampenda yee tu.Kuna kitu huwa najiuliza hivi Kuna ulazima watu mkibebishana muazishe mada jukwaa ili iweje na kwa faida gani labla?