Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
HahahahahaHahahaha, haiwezekani we na G mkatengana
MTC | 101| [emoji769]
Sema na ukweli mi siku hizi nachoka sana nalala hoi muda wa kuandika nautoa wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaHahahaha, haiwezekani we na G mkatengana
MTC | 101| [emoji769]
Aisee umepotea sana chief
HahahahHamna kitu mwanamke yoyote anakipenda hapa dunian kama Kumuonyesha mbele za watu kua unampenda yee tu.
Bila shaka, hata wewe unapenda sana tuuu .
Semaa, ndo ivo Uigizaji unakua mwingi hata unaharib uhalisia.
Nakojoaaaaaawamefumia kitambaa zile nyuzi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wapo kina zero iq na ndege jon na yule nani na wengine kibao sema labda kuna za watu ulikuwa wazipenda zaidiSiku hizi limepoa kabisa, asa sisi tukioji tunaonekana tofauti,, kulikuwa na umoja flani ivi ,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo,,, ukiona kimya ujue harakati zimekuwa nyingi,Aisee umepotea sana chief
Tehteh teh teh,,Wapo kina zero iq na ndege jon na yule nani na wengine kibao sema labda kuna za watu ulikuwa wazipenda zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah...! Kwahiyo umeamua kujitoa akili zako kabisa kuwa hujui ninachoteseka nacho? Basi sawa Kama[emoji30]Hivi watu wakibebishana mtu mwingine anateseka na nini? Ushimen njoo huku uone babe
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah...! Kwahiyo umeamua kujitoa akili zako kabisa kuwa hujui ninachoteseka nacho? Basi sawa Kama[emoji30]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa dada nimekuelewaHamna kitu mwanamke yoyote anakipenda hapa dunian kama Kumuonyesha mbele za watu kua unampenda yee tu.
Bila shaka, hata wewe unapenda sana tuuu .
Semaa, ndo ivo Uigizaji unakua mwingi hata unaharib uhalisia.
Saaaana, najiuliza hiyo bahati mbona huwa hainipatagi mm sawa na hao wengine lkn nabaki kujijibu mwenyewe rohoni kuwa "ipo siku 1 nami nitapata hiyo bahati"Hahaha kwani na wewe unateseka? Halafu rudi siasani ukaendelee kumtetea Jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kukujibu kuhusu huyo Mkuu wa nchi lkn bahati yako nakuheshimu sana ndiyomaana nimeamua kukaa kimya tu[emoji87]Hahaha kwani na wewe unateseka? Halafu rudi siasani ukaendelee kumtetea Jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaipata wapi kutwa unashinda mitaa ile kumtetea jiweSaaaana, najiuliza hiyo bahati mbona huwa hainipatagi mm sawa na hao wengine lkn nabaki kujijibu mwenyewe rohoni kuwa "ipo siku 1 nami nitapata hiyo bahati"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka kunitukana eeh?Nilitaka kukujibu kuhusu huyo Mkuu wa nchi lkn bahati yako nakuheshimu sana ndiyomaana nimeamua kukaa kimya tu[emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni mwanaume una mapungufu, unatoa povu kama nimekusa kwenye korodani. Popoma weAaahh mi mwanaume sio mwanamke .
Nyau we.
Halafu sio kila ninacho andika jukwaani niko serious utani kwangu ni mwingi kama zile message zangu zimekugusa sehemu za siri Chukua maji ya moto unawe, Nyani wahedi weAaahh mi mwanaume sio mwanamke .
Nyau we.
AiseeHalafu sio kila ninacho andika jukwaani niko serious utani kwangu ni mwingi kama zile message zangu zimekugusa sehemu za siri Chukua maji ya moto unawe, Nyani wahedi we