1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
- #21
Hahahah wapo ktk kichaka cha ID mpya,, wako makini baada ya kusaga menoNdivyo inavyokuwa baada ya dhiki faraja.
Watapinga vikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah wapo ktk kichaka cha ID mpya,, wako makini baada ya kusaga menoNdivyo inavyokuwa baada ya dhiki faraja.
Watapinga vikali
Ni kweli kabisa wanajaribu kujisahaulisha yaliyopita kwa kujifanya watu wapya kama ID zao lakini mioyoni mwao wanasikitisha.Hahahah wapo ktk kichaka cha ID mpya,, wako makini baada ya kusaga meno
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa wanajaribu kujisahaulisha yaliyopita kwa kujifanya watu wapya kama ID zao lakini mioyoni mwao wanasikitisha.Hahahah wapo ktk kichaka cha ID mpya,, wako makini baada ya kusaga meno
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaaNi kweli kabisa wanajaribu kujisahaulisha yaliyopita kwa kujifanya watu wapya kama ID zao lakini mioyoni mwao wanasikitisha.
Niko tayari waje kunipinga
HahahahaHahahah wapo ktk kichaka cha ID mpya,, wako makini baada ya kusaga meno
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ukiachwa usibadili ID komaa hivyo hivyo huo ndio ujasiri 😀😀
Kuna ya Tabata pia.
Teh teh wana show luv ili na sisi tujue,Kuna kitu huwa najiuliza hivi Kuna ulazima watu mkibebishana muazishe mada jukwaa ili iweje na kwa faida gani labla?
HahahahHakuna faida wala ulazima wowote.
ila tambua utapingwa tu
Kama ni hivyo wakiachana waje na mada member tujue, binafsi huwa nawadharau mno. Tuandike ni Utoto au ni ulimbukeni.
HahahahKama ni hivyo wakiachana waje na mada member tujue, binafsi huwa nawadharau mno. Tuandike ni Utoto au ni ulimbukeni.
Tukianzisha wanakasirika na kutukana juu kweli tumeacha maneno juuTumetulia kidogo tutazianzisha kama kawaida