Hapa Kazi Tu (HKT) kiwe chama kipya cha kisiasa Tanzania kitakachoenzi falsafa na maono ya Hayati Dkt. Magufuli na kiwe tegemeo la Watanzania

Hapa Kazi Tu (HKT) kiwe chama kipya cha kisiasa Tanzania kitakachoenzi falsafa na maono ya Hayati Dkt. Magufuli na kiwe tegemeo la Watanzania

Katika maelezo ya awali, naona lengo lao ni kulinda raslimali na kuzitumia katika kuleta na kujenga maendeleo ya uchumi katika nchi, na kujenga mahusiano ya kimataifa yenye mfumo huru na faidishi. Kupiga vita wizi,uonezi na dhurma dhidi ya utu wa Watanzania wote bia kujali itikadi, rangi, kabila dini, elimu na kujenga uwiano sawa katika matumizi ya raslimali za ndani kwa maslahi ya taifa la leo na kesho. Hatuwezi kukomboa nchi yetu dhidi ya dhurma na uonezi ikiwa tutakuwa na vyombo vya uongozi vionga, vinavyoogopa wezi na wabadhirifu.
Tunahitaji viongozi wenye ufahamu, nia na maarifa sahihi ya kulinda, kusimamia na kumuendeleza mtanzania bila unafiki wala uwoga.

Chief hayo maneno matamu yapo kwenye kila kinywa cha mwanasiasa mbele ya wananchi wanaowabatiza jina la wanyonge, JE UHALISIA UKOJE NYUMA YA PAZIA.?

Falsafa za wajamaa wa zamani zilifanya kazi maana na wao walijaribu kuziishi falsafa zao japo wengi wao walishindwa kuendana na kasi ya maendeleo ya dunia baadala yake wakabaki na mawazo ya kizamani na kuumiza watu wao wenyewe na kuleta usumbufu duniani..

Wajamaa wa karne hii wanahubiri ujamaa majukwaani ilihali wao na familia zao na marafiki zao wanaowazunguka hawaaishi huo ujamaa... Wajamaa wa karne wanafake ujamaa kwenye macho ya watu huku nyuma ya pazia wakiishi ubepari na kushirikiana na mabeberu kwa maslahi yao binafsi..matokeo yake propaganda kama tool ya kijamaa toka enzi hizo inatumika vibaya kwa maslahi ya wachache na kuangamiza wengi....
 
Mnataka muenzi faisafa ya kuteka na kupiga watu risas kukwiba pesa za wafanya biashara na kuwa ben SAA 8 wanaowapinga sio?
Tuache kubambika makosa kwa chama ambacho hata hakijaanza. Tuwasaidie kuwapa masuala ya kuzingatia ambayo yamekuwa kero sugu kikatiba ili yawemsingi wa kuboresha taifa. Kama ikitokea chama chenye maudhui jumuishi na tofautishi, kikajifunza na kuondoa yale maovu na kuchukua yaliyo mema katima itikadi na mitazamo ya vyama vya siasa vilivyopo, bila shaka Tanzanai itakuwa imepata kitu kizuri cha kusukuma maendeleo na uwajibikaji, likiwemo usimamizi wa hatma ya nchi.

Tuanze kuwaambia masuala ya kuzingatia:-
1. Haki za binadamu.
2. Raslimali za taifa.
3. Maendeleo ya watu katika masuala yote muhimu kama Siasa safi, Uchumi, Kijamii, Teknolojia, Mazingira, Sheria n.k.
4 Katiba mpya yenye kuaksi masuala yote kwa misingi ya hoja 3, na yenye kulazimisha uadhlifu na uwajibikaji katika maeneo yote badala ya utashi na uwezo wa kiongozi binafsi.
5.
6.
7.
 
chama cha zito kimetengenezwa arround nanni? huyo anachoongelea ni cult sio chama
Chama kile kilitengenezwa na kina msoga, na akina miebe kwa kusudi la kudhoofisha upinzani. Hiki kipya kisiwe na element za ubinafsi ama ujasusi wa mafisadi.
 
Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo.

Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote.

Hatutakaa kimya pale tunapohisi rushwa, wizi na upotevu wa rasilimali za nchi unapotokea.
Chama kitatesa, kuua ,kubambikwa na kukusanya pesa za watu.
 
Chama kile kilitengenezwa na kina msoga, na akina miebe kwa kusudi la kudhoofisha upinzani. Hiki kipya kisiwe na element za ubinafsi ama ujasusi wa mafisadi.
una ushahidi wowote kuwa waliotengeneza ni watu wa msoga?
kila chama kinapoanza kinakuwa na nia njema however muda unaozid kwenda tamaa huingia. why? sababu ni nature yetu waafrica.
kwa kuanza tu element za kininafsi zimeshaonekana.. plus ni cult.
 
Nenda kafungue keis mahakama ya kimataifa ili nipeleke ushahdi.
 
Tuache kubambika makosa kwa chama ambacho hata hakijaanza. Tuwasaidie kuwapa masuala ya kuzingatia ambayo yamekuwa kero sugu kikatiba ili yawemsingi wa kuboresha taifa. Kama ikitokea chama chenye maudhui jumuishi na tofautishi, kikajifunza na kuondoa yale maovu na kuchukua yaliyo mema katima itikadi na mitazamo ya vyama vya siasa vilivyopo, bila shaka Tanzanai itakuwa imepata kitu kizuri cha kusukuma maendeleo na uwajibikaji, likiwemo usimamizi wa hatma ya nchi.

Tuanze kuwaambia masuala ya kuzingatia:-
1. Haki za binadamu.
2. Raslimali za taifa.
3. Maendeleo ya watu katika masuala yote muhimu kama Siasa safi, Uchumi, Kijamii, Teknolojia, Mazingira, Sheria n.k.
4 Katiba mpya yenye kuaksi masuala yote kwa misingi ya hoja 3, na yenye kulazimisha uadhlifu na uwajibikaji katika maeneo yote badala ya utashi na uwezo wa kiongozi binafsi.
5.
6.
7.
mtafanya hayo yote. lakin.. nje ya ccm mtaweza survive?
i mean kuna vyama vilishajaribu na havikufika mahali? kipo special mtakacho kua nacho ambacho vyama vingine havina?
 
Nenda kafungue keis mahakama ya kimataifa ili nipeleke ushahdi.
halaf kwenye jalada la kesi niandike namshtaki nani? bullshit hahaha
kudhibitisha madai yako tupia evidence.. otherwise zitabali story za vijiweni
 
mtafanya hayo yote. lakin.. nje ya ccm mtaweza survive?
i mean kuna vyama vilishajaribu na havikufika mahali? kipo special mtakacho kua nacho ambacho vyama vingine havina?
BTW, stop assuming the founders are ccm members because you are not sure.
Unaogopa nini kama unaamini ccm is there to stay forever.
Hata wakati wa African liberations, wanufaika wa ukoloni walikuwa wakiwatisha patriotics kwamba kuna wazee wao walianzisha majimaji, wakafa, mkwawa alishindwa, na many other miserable quotes, but they dared and made it. Waache waanzishe chama chao unique, bila kuwapigia ramli za kushindwa.

Hujuma za kisiasa zipo tu, kuna wanaoshindwa na wengine hufanikiwa. Hata waliokuwa wakikimbia utawala wa Chaka Zulu weng waliliwa na mamba mitoni zambezi n.k.lakin wapo waliofika ndiyo sababu tuna Wangoni leo.

Let them do their part. Kama wanakuondoa acha wakuondoe lakini utakuwa salama na vizazi vyako.
 
halaf kwenye jalada la kesi niandike namshtaki nani? bullshit hahaha
kudhibitisha madai yako tupia evidence.. otherwise zitabali story za vijiweni
Mind you, I owe you neither justification nor explanation. Wewe endelea kutetemeka, wenzako wanakuja na HKT kama mafuriko ya maji.
 
Tumeanza taratibu maana tunaona CCM tunayoitaka haijirekebishi inarudia tabia za zamani za mikataba ya hovyo hovyo Rais wa nchi anakuwa mtu wa kujipendekeza kwa watu ambao hawakumchagua vyama vingine vya Upinzani vimekuwa matawi ya CCM, na waporaji wa rasilimali zetu tunataka ulinzi imara na kwa wivu wote wa rasilimali za nchi yetu tunawataka viongozi wa nchi wazidishe vita dhidi ya Rushwa kwa vitendo
....Vyama vingine vimekuwa matawi ya CCM.
Lini TLP iliacha kuwa tawi la CCM?
 
Lengo la HKT ni kurudisha faraja kwa Watanzania juu ya ulinzi wa Rasilimali zao “Hayati Dk John Magufuli alikuwa mzalendo wa kweli, alikuwa na maono, alijitoa kwa nguvu zote, alikuwa na uthubutu sana, mtu wa vitendo na muumini wa matokeo na kuchukua hatua za papo kwa papo,
Muuaji
Mtesaji,
Mbambika kesi,
Mwongo mwongo,
Dhulumati.
 
Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo.

Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote.

Hatutakaa kimya pale tunapohisi rushwa, wizi na upotevu wa rasilimali za nchi unapotokea.
Katibu Mkuu Bashiru, Katibu Mwenezi Polepole, Mtekaji wa chama Makonda.
Mtesaji wa chama Sabaya.
Mpiga ndogondogo na falsafa wa chama Chalamila.
Bonge la chama.
 
Sisi tunaamini kuwa katiba mpya ni hitaji la watanzania kwa lugha nyingine katiba ni muongo wa nchi unaotakiwa kubadilika kulingana na hitaji la Dunia kwa maana ya kwamba Dunia ya leo sio sawa na Dunia ya enzi za miaka ya 1977 kwa hiyo mambo mengi yamebadilika inabidi pia muongozo wa nchi ubadilike na mabadiliko hayo yaendane na hitaji la kuineemesha Tanzania kwa hiyo sisi tunaunga katiba mpya yenye kuakisi mahitaji halisi ya maisha ya kila siku ya watanzania
Hata Katiba ya Warioba imepitwa na wakati bora hata ya 1977 ina misingi ya umoja na amani, amali za Taifa.
 
Back
Top Bottom