Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
chama cha zito kimetengenezwa arround nanni? huyo anachoongelea ni cult sio chamaMbona Zitto aliweza? Mwache ajaribu
Katika maelezo ya awali, naona lengo lao ni kulinda raslimali na kuzitumia katika kuleta na kujenga maendeleo ya uchumi katika nchi, na kujenga mahusiano ya kimataifa yenye mfumo huru na faidishi. Kupiga vita wizi,uonezi na dhurma dhidi ya utu wa Watanzania wote bia kujali itikadi, rangi, kabila dini, elimu na kujenga uwiano sawa katika matumizi ya raslimali za ndani kwa maslahi ya taifa la leo na kesho. Hatuwezi kukomboa nchi yetu dhidi ya dhurma na uonezi ikiwa tutakuwa na vyombo vya uongozi vionga, vinavyoogopa wezi na wabadhirifu.
Tunahitaji viongozi wenye ufahamu, nia na maarifa sahihi ya kulinda, kusimamia na kumuendeleza mtanzania bila unafiki wala uwoga.
Tuache kubambika makosa kwa chama ambacho hata hakijaanza. Tuwasaidie kuwapa masuala ya kuzingatia ambayo yamekuwa kero sugu kikatiba ili yawemsingi wa kuboresha taifa. Kama ikitokea chama chenye maudhui jumuishi na tofautishi, kikajifunza na kuondoa yale maovu na kuchukua yaliyo mema katima itikadi na mitazamo ya vyama vya siasa vilivyopo, bila shaka Tanzanai itakuwa imepata kitu kizuri cha kusukuma maendeleo na uwajibikaji, likiwemo usimamizi wa hatma ya nchi.Mnataka muenzi faisafa ya kuteka na kupiga watu risas kukwiba pesa za wafanya biashara na kuwa ben SAA 8 wanaowapinga sio?
Chama kile kilitengenezwa na kina msoga, na akina miebe kwa kusudi la kudhoofisha upinzani. Hiki kipya kisiwe na element za ubinafsi ama ujasusi wa mafisadi.chama cha zito kimetengenezwa arround nanni? huyo anachoongelea ni cult sio chama
Hapana mkuu nakuomba sana uelewe kuwa Mzee Magufuli alikuwa muungwana sana ni binadamu aliyekuwa na Mapungufu yake lkn kiukweli Mzee huyu alijitoa kwa ajili ya Tanzania
Chama kitatesa, kuua ,kubambikwa na kukusanya pesa za watu.Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo.
Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote.
Hatutakaa kimya pale tunapohisi rushwa, wizi na upotevu wa rasilimali za nchi unapotokea.
una ushahidi wowote kuwa waliotengeneza ni watu wa msoga?Chama kile kilitengenezwa na kina msoga, na akina miebe kwa kusudi la kudhoofisha upinzani. Hiki kipya kisiwe na element za ubinafsi ama ujasusi wa mafisadi.
Nenda kafungue keis mahakama ya kimataifa ili nipeleke ushahdi.una ushahidi wowote kuwa waliotengeneza ni watu wa msoga?
kila chama kinapoanza kinakuwa na nia njema however muda unaozid kwenda tamaa huingia. why? sababu ni nature yetu waafrica.
kwa kuanza tu element za kininafsi zimeshaonekana.. plus ni cult.
mtafanya hayo yote. lakin.. nje ya ccm mtaweza survive?Tuache kubambika makosa kwa chama ambacho hata hakijaanza. Tuwasaidie kuwapa masuala ya kuzingatia ambayo yamekuwa kero sugu kikatiba ili yawemsingi wa kuboresha taifa. Kama ikitokea chama chenye maudhui jumuishi na tofautishi, kikajifunza na kuondoa yale maovu na kuchukua yaliyo mema katima itikadi na mitazamo ya vyama vya siasa vilivyopo, bila shaka Tanzanai itakuwa imepata kitu kizuri cha kusukuma maendeleo na uwajibikaji, likiwemo usimamizi wa hatma ya nchi.
Tuanze kuwaambia masuala ya kuzingatia:-
1. Haki za binadamu.
2. Raslimali za taifa.
3. Maendeleo ya watu katika masuala yote muhimu kama Siasa safi, Uchumi, Kijamii, Teknolojia, Mazingira, Sheria n.k.
4 Katiba mpya yenye kuaksi masuala yote kwa misingi ya hoja 3, na yenye kulazimisha uadhlifu na uwajibikaji katika maeneo yote badala ya utashi na uwezo wa kiongozi binafsi.
5.
6.
7.
halaf kwenye jalada la kesi niandike namshtaki nani? bullshit hahahaNenda kafungue keis mahakama ya kimataifa ili nipeleke ushahdi.
BTW, stop assuming the founders are ccm members because you are not sure.mtafanya hayo yote. lakin.. nje ya ccm mtaweza survive?
i mean kuna vyama vilishajaribu na havikufika mahali? kipo special mtakacho kua nacho ambacho vyama vingine havina?
Mind you, I owe you neither justification nor explanation. Wewe endelea kutetemeka, wenzako wanakuja na HKT kama mafuriko ya maji.halaf kwenye jalada la kesi niandike namshtaki nani? bullshit hahaha
kudhibitisha madai yako tupia evidence.. otherwise zitabali story za vijiweni
....Vyama vingine vimekuwa matawi ya CCM.Tumeanza taratibu maana tunaona CCM tunayoitaka haijirekebishi inarudia tabia za zamani za mikataba ya hovyo hovyo Rais wa nchi anakuwa mtu wa kujipendekeza kwa watu ambao hawakumchagua vyama vingine vya Upinzani vimekuwa matawi ya CCM, na waporaji wa rasilimali zetu tunataka ulinzi imara na kwa wivu wote wa rasilimali za nchi yetu tunawataka viongozi wa nchi wazidishe vita dhidi ya Rushwa kwa vitendo
MuuajiLengo la HKT ni kurudisha faraja kwa Watanzania juu ya ulinzi wa Rasilimali zao “Hayati Dk John Magufuli alikuwa mzalendo wa kweli, alikuwa na maono, alijitoa kwa nguvu zote, alikuwa na uthubutu sana, mtu wa vitendo na muumini wa matokeo na kuchukua hatua za papo kwa papo,
Katibu Mkuu Bashiru, Katibu Mwenezi Polepole, Mtekaji wa chama Makonda.Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo.
Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote.
Hatutakaa kimya pale tunapohisi rushwa, wizi na upotevu wa rasilimali za nchi unapotokea.
Hata Katiba ya Warioba imepitwa na wakati bora hata ya 1977 ina misingi ya umoja na amani, amali za Taifa.Sisi tunaamini kuwa katiba mpya ni hitaji la watanzania kwa lugha nyingine katiba ni muongo wa nchi unaotakiwa kubadilika kulingana na hitaji la Dunia kwa maana ya kwamba Dunia ya leo sio sawa na Dunia ya enzi za miaka ya 1977 kwa hiyo mambo mengi yamebadilika inabidi pia muongozo wa nchi ubadilike na mabadiliko hayo yaendane na hitaji la kuineemesha Tanzania kwa hiyo sisi tunaunga katiba mpya yenye kuakisi mahitaji halisi ya maisha ya kila siku ya watanzania
hamna mahali mtafika na hiyo cult group.Mind you, I owe you neither justification nor explanation. Wewe endelea kutetemeka, wenzako wanakuja na HKT kama mafuriko ya maji.