HAPA KAZI TU!

Ilikuwa ni kauli mbiu ya Uchaguzi ya CCM na wala siyo ya nchi ya Tanzania, ni kawaida kauli mbiu kufifia baada ya Uchaguzi kuisha, kabla ya hapo kulikuwa na Maisha bora kwa kila Mtanzania, chadema pia mlikuwa na yenu m4change, ...
 
Mi si wa chadema aisee,mi ni mkenya mkuu.Unataka kusema kauli yenyewe ilianza na kuisha na CCM baada ya uchaguzi?Kama chama kauli hii hawaitumii tena?
 
Mi si wa chadema aisee,mi ni mkenya mkuu.Unataka kusema kauli yenyewe ilianza na kuisha na CCM baada ya uchaguzi?Kama chama kauli hii hawaitumii tena?

Kwani nani anasema ujinga wa Obama Yes we can leo hii USA?
 
Kwani nani anasema ujinga wa Obama Yes we can leo hii USA?
Vigumu sana kujifananisha na U.S lakini 'Yes we can' ilikuwa kauli tofauti sana na hapa kazi tu!Hapa kazi tu mliitumia saana baada ya uchaguzi kama kauli ya ushindi wa chama tawala,au sio?Hivi sasa siskii hata mtu mmoja akitamka maneno haya.Inamaanisha kauli hiyo hamkuiaminia hata kabla ya uchaguzi?
 
Hata Mpinga Kristo Obama alifanya hivyo hivyo, labda kama hauelewi maana ya kauli mbiu kwenye Uchaguzi, sasa hapo siwezi kukusaidia!
 
Hata Mpinga Kristo Obama alifanya hivyo hivyo, labda kama hauelewi maana ya kauli mbiu kwenye Uchaguzi, sasa hapo siwezi kukusaidia!
Naelewa kauli mbiu kwenye uchaguzi jombaa.Jubilee uchaguzi uliopita walikuwa na 'I believe'.Sasa hivi ni 'Tuko pamoja'.Yote ni tofauti na Hapa kazi tu ambayo ilikuwa na uzito flani.Hukuskia wakenya ambao ni wafuasi wa Jubilee wakisemasema I believe.Kilichobadilika ni nini?Hilo ndo swali langu kuu.
 
Sasa hivi ni "hapa visasi tu"

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Duh!Mkuu watz hampendi kabisaa 'kutoboa yote' kama wakenya wanavopenda kusema.Ni kama kula vitumbua moto,pooole pooole.Hehe!Fafanua aisee,hapa visasi?Hiyo nayo hatar!
 
Kilichobadilika ni Muda!
 
Acha ubwege wewe!!! Uwe unajitambua unaongea na nani, sio kuwaza kisiasasiasa kila kila muda[emoji41]
Lazima mtakuwa mna bifu zenu wenyewe!Lakini umenena kweli,siasa siasa kila wakati inakuwa ni kero tupu.Ndo maana nimepiga kambi jf,Kenya sasa hivi ni homa ya kampeni tu,hata chanjo haitambui!
 
Usijali mkuu, Rooney akirudi tena Bongo utapata nafasi, angalau hata wewe pia umkumbatie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…