HAPA KAZI TU!

HAPA KAZI TU!

Asalaam aleykum wakuu. HAPA KAZI TU! ilikuwa ni kauli nzuri sana kutoka kwa majirani zetu wapendwa. Kauli hii niliipenda sana na niliifananisha na ile kauli ya baba wa taifa la Kenya,hayati Mzee J.Kenyatta,yaani HARAAMBE! tuvute kwa pamoja. Ambayo hadi sasa hivi ndo 'motto' ya taifa letu tukufu la Kenya. Mbona mkaacha kutumia kauli hii ambayo iliashiria mwamko mpya na nguvu ya kafanya kazi kwa pamoja kama hapo awali? Je kauli hii tutaisikia tena kama tulivoisikia meizi kadhaa iliyopita? Ningependa kujua tafadhali. Shukran.

Ilikuwa ni kauli mbiu ya Uchaguzi ya CCM na wala siyo ya nchi ya Tanzania, ni kawaida kauli mbiu kufifia baada ya Uchaguzi kuisha, kabla ya hapo kulikuwa na Maisha bora kwa kila Mtanzania, chadema pia mlikuwa na yenu m4change, ...
 
Mi si wa chadema aisee,mi ni mkenya mkuu.Unataka kusema kauli yenyewe ilianza na kuisha na CCM baada ya uchaguzi?Kama chama kauli hii hawaitumii tena?
 
Kwani nani anasema ujinga wa Obama Yes we can leo hii USA?
 
Vigumu sana kujifananisha na U.S lakini 'Yes we can' ilikuwa kauli tofauti sana na hapa kazi tu!Hapa kazi tu mliitumia saana baada ya uchaguzi kama kauli ya ushindi wa chama tawala,au sio?Hivi sasa siskii hata mtu mmoja akitamka maneno haya.Inamaanisha kauli hiyo hamkuiaminia hata kabla ya uchaguzi?
 
Hata Mpinga Kristo Obama alifanya hivyo hivyo, labda kama hauelewi maana ya kauli mbiu kwenye Uchaguzi, sasa hapo siwezi kukusaidia!
 
Naelewa kauli mbiu kwenye uchaguzi jombaa.Jubilee uchaguzi uliopita walikuwa na 'I believe'.Sasa hivi ni 'Tuko pamoja'.Yote ni tofauti na Hapa kazi tu ambayo ilikuwa na uzito flani.Hukuskia wakenya ambao ni wafuasi wa Jubilee wakisemasema I believe.Kilichobadilika ni nini?Hilo ndo swali langu kuu.
 
Kilichobadilika ni Muda!
 
Acha ubwege wewe!!! Uwe unajitambua unaongea na nani, sio kuwaza kisiasasiasa kila kila muda[emoji41]
Lazima mtakuwa mna bifu zenu wenyewe!Lakini umenena kweli,siasa siasa kila wakati inakuwa ni kero tupu.Ndo maana nimepiga kambi jf,Kenya sasa hivi ni homa ya kampeni tu,hata chanjo haitambui!
 
Hivi WAKENYA KWANINI MNAPENDA
SANA MABO YA KISHOGA

mAANA HATA BUNGE LENU LINAPENDA SANA HIZI HABARI,

Pia mana mji wenu mmoja wa pwani ndio unasifika kwa mambo haya,

Maana swala la rooney kukumbatiwa hata mataifa mengine wanafanya,

inakuaje ww mkenye unapeleka ufahamu wako kwenye mambo ya ngono,

Je ww ukikumbatiwa hivyo au vinginevyo,tukiite shoga.

Hebu kuweni wastaarabu,
Usijali mkuu, Rooney akirudi tena Bongo utapata nafasi, angalau hata wewe pia umkumbatie!
 
Back
Top Bottom