pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
- #21
Eti pikipiki nini?We mtoto wa darasa la tano nini?Pereka hukooo!Unatafuta kiki kwa pikipiki[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti pikipiki nini?We mtoto wa darasa la tano nini?Pereka hukooo!Unatafuta kiki kwa pikipiki[emoji23]
Pereka ndio nini ? Umekimbia umande wewe sio bureEti pikipiki nini?We mtoto wa darasa la tano nini?Pereka hukooo!
Asalaam aleykum wakuu. HAPA KAZI TU! ilikuwa ni kauli nzuri sana kutoka kwa majirani zetu wapendwa. Kauli hii niliipenda sana na niliifananisha na ile kauli ya baba wa taifa la Kenya,hayati Mzee J.Kenyatta,yaani HARAAMBE! tuvute kwa pamoja. Ambayo hadi sasa hivi ndo 'motto' ya taifa letu tukufu la Kenya. Mbona mkaacha kutumia kauli hii ambayo iliashiria mwamko mpya na nguvu ya kafanya kazi kwa pamoja kama hapo awali? Je kauli hii tutaisikia tena kama tulivoisikia meizi kadhaa iliyopita? Ningependa kujua tafadhali. Shukran.
Hehe,sheng hiyo inamaanisha utembeze kiatu!Pereka ndio nini ? Umekimbia umande wewe sio bure
"Unatafuta kiki kwa pikipiki"
Hamna cha sheng wala nini sema peleka sio perekaHehe,sheng hiyo inamaanisha utembeze kiatu!
Mi si wa chadema aisee,mi ni mkenya mkuu.Unataka kusema kauli yenyewe ilianza na kuisha na CCM baada ya uchaguzi?Kama chama kauli hii hawaitumii tena?Ilikuwa ni kauli mbiu ya Uchaguzi ya CCM na wala siyo ya nchi ya Tanzania, ni kawaida kauli mbiu kufifia baada ya Uchaguzi kuisha, kabla ya hapo kulikuwa na Maisha bora kwa kila Mtanzania, chadema pia mlikuwa na yenu m4change, ...
Sawasawa jombaa.Hamna cha sheng wala nini sema peleka sio pereka
"Unatafuta kiki kwa pikipiki
Sent from makinikia original
Mi si wa chadema aisee,mi ni mkenya mkuu.Unataka kusema kauli yenyewe ilianza na kuisha na CCM baada ya uchaguzi?Kama chama kauli hii hawaitumii tena?
Unaongelea mropokaji wetu?
Swissme
Vigumu sana kujifananisha na U.S lakini 'Yes we can' ilikuwa kauli tofauti sana na hapa kazi tu!Hapa kazi tu mliitumia saana baada ya uchaguzi kama kauli ya ushindi wa chama tawala,au sio?Hivi sasa siskii hata mtu mmoja akitamka maneno haya.Inamaanisha kauli hiyo hamkuiaminia hata kabla ya uchaguzi?Kwani nani anasema ujinga wa Obama Yes we can leo hii USA?
Vigumu sana kujifananisha na U.S lakini 'Yes we can' ilikuwa kauli tofauti sana na hapa kazi tu!Hapa kazi tu mliitumia saana baada ya uchaguzi kama kauli ya ushindi wa chama tawala,au sio?Hivi sasa siskii hata mtu mmoja akitamka maneno haya.Inamaanisha kauli hiyo hamkuiaminia hata kabla ya uchaguzi?
Naelewa kauli mbiu kwenye uchaguzi jombaa.Jubilee uchaguzi uliopita walikuwa na 'I believe'.Sasa hivi ni 'Tuko pamoja'.Yote ni tofauti na Hapa kazi tu ambayo ilikuwa na uzito flani.Hukuskia wakenya ambao ni wafuasi wa Jubilee wakisemasema I believe.Kilichobadilika ni nini?Hilo ndo swali langu kuu.Hata Mpinga Kristo Obama alifanya hivyo hivyo, labda kama hauelewi maana ya kauli mbiu kwenye Uchaguzi, sasa hapo siwezi kukusaidia!
Duh!Mkuu watz hampendi kabisaa 'kutoboa yote' kama wakenya wanavopenda kusema.Ni kama kula vitumbua moto,pooole pooole.Hehe!Fafanua aisee,hapa visasi?Hiyo nayo hatar!Sasa hivi ni "hapa visasi tu"
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Naelewa kauli mbiu kwenye uchaguzi jombaa.Jubilee uchaguzi uliopita walikuwa na 'I believe'.Sasa hivi ni 'Tuko pamoja'.Yote ni tofauti na Hapa kazi tu ambayo ilikuwa na uzito flani.Hukuskia wakenya ambao ni wafuasi wa Jubilee wakisemasema I believe.Kilichobadilika ni nini?Hilo ndo swali langu kuu.
Kweli?Haya basi nimekuelewa mkuu!Shukran.Kilichobadilika ni Muda!
Lazima mtakuwa mna bifu zenu wenyewe!Lakini umenena kweli,siasa siasa kila wakati inakuwa ni kero tupu.Ndo maana nimepiga kambi jf,Kenya sasa hivi ni homa ya kampeni tu,hata chanjo haitambui!Acha ubwege wewe!!! Uwe unajitambua unaongea na nani, sio kuwaza kisiasasiasa kila kila muda[emoji41]
Usijali mkuu, Rooney akirudi tena Bongo utapata nafasi, angalau hata wewe pia umkumbatie!Hivi WAKENYA KWANINI MNAPENDA
SANA MABO YA KISHOGA
mAANA HATA BUNGE LENU LINAPENDA SANA HIZI HABARI,
Pia mana mji wenu mmoja wa pwani ndio unasifika kwa mambo haya,
Maana swala la rooney kukumbatiwa hata mataifa mengine wanafanya,
inakuaje ww mkenye unapeleka ufahamu wako kwenye mambo ya ngono,
Je ww ukikumbatiwa hivyo au vinginevyo,tukiite shoga.
Hebu kuweni wastaarabu,