KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Muda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana.
Kwa nini, matukio hayo yafuatane kwa karibu?
Kwa nini tukio la kupotea kwa chombo Cha TITAN linaezwa na tukio la Wagner kutaka kuivamia Urusi?
Mawasiliano kwenye chombo Cha Titan yalipotea ghafla tena kwa kasi ya ajabu, kwa nini tena kikiwa na teknolojia za juu sana za mawasiliano?
Kupotea kwa chombo Cha Titan , kunataka kufanana na kupotea ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea 2014 , ndege ile ilikuwa na mawasiliano ya juu kabisa?
Hitler alishindwa kuifikia Moscow akiwa na jeshi la Askari wasiopungua milioni 10 alipigwa kwa nini Wagner wahisi ni jambo rahisi hivyo?
Baada ya kutafakari kwa kina juu ya hayo nimegundua Siri kubwa imejificha tena sana. Kwa sababu:
Anayeongoza kwa teknolojia za kisasa kabisa za chini, baharini na Angani ni......
Tusimchukulie poa Russia , ana Siri za kutisha sana