Hapa kuna Siri imejificha?

Hapa kuna Siri imejificha?

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
2,789
Reaction score
4,951
Muda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana.

Kwa nini, matukio hayo yafuatane kwa karibu?

Kwa nini tukio la kupotea kwa chombo Cha TITAN linaezwa na tukio la Wagner kutaka kuivamia Urusi?

Mawasiliano kwenye chombo Cha Titan yalipotea ghafla tena kwa kasi ya ajabu, kwa nini tena kikiwa na teknolojia za juu sana za mawasiliano?

Kupotea kwa chombo Cha Titan , kunataka kufanana na kupotea ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea 2014 , ndege ile ilikuwa na mawasiliano ya juu kabisa?

Hitler alishindwa kuifikia Moscow akiwa na jeshi la Askari wasiopungua milioni 10 alipigwa kwa nini Wagner wahisi ni jambo rahisi hivyo?

Baada ya kutafakari kwa kina juu ya hayo nimegundua Siri kubwa imejificha tena sana. Kwa sababu:

Anayeongoza kwa teknolojia za kisasa kabisa za chini, baharini na Angani ni......

Tusimchukulie poa Russia , ana Siri za kutisha sana
 
Kwani sheria inasemaje kuhusu ilo kiongozi? Kutokea kwa matukio makubwa mawili kwa wakati mmoja?
Asante.
 
Muda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana.

Kwa nini, matukio hayo yafuatane kwa karibu?

Kwa nini tukio la kupotea kwa chombo Cha TITAN linaezwa na tukio la Wagner kutaka kuivamia Urusi?

Mawasiliano kwenye chombo Cha Titan yalipotea ghafla tena kwa kasi ya ajabu, kwa nini tena kikiwa na teknolojia za juu sana za mawasiliano?

Kupotea kwa chombo Cha Titan , kunataka kufanana na kupotea ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea 2014 , ndege ile ilikuwa na mawasiliano ya juu kabisa?

Hitler alishindwa kuifikia Moscow akiwa na jeshi la Askari wasiopungua milioni 10 alipigwa kwa nini Wagner wahisi ni jambo rahisi hivyo?

Baada ya kutafakari kwa kina juu ya hayo nimegundua Siri kubwa imejificha tena sana. Kwa sababu:

Anayeongoza kwa teknolojia za kisasa kabisa za chini, baharini na Angani ni......

Tusimchukulie poa Russia , ana Siri za kutisha sana
😂😂😂😂😂
ime bidi nicheke kwenye conclusion yako mzee ume andika shudu mixa pumbu sorry pumba
 
Kwanza sio kweli eti kwamba chombo kina teknolonjia ya juu. Kile chombo kina teknolojia ya chini maana kilitengenezwa kwa cheapp offshelf materials kupunguza gharama na ndio maana kilikuwa kinaongoza na game pad ya logitech toleo la mwaka 2010 inauzwa dollar 32 amazon.
Hakikuwa hata luxury so kusema kina high tech ni uongo.
Pili the dunia inaendelea hakuna conncetion yoyote kabisa ya vita ya urusi na chombo kupotea.
And by the way mtu ambaye amewahi kukitumia mara tatu mwandishi wa katuni ya the simpsons, amesema mara zote tatu at some point mawasiliano yalikuwa yakipotea so si jambo ambalo limetokea mara moja na ndio maana hata wahusika iliwachukua muda mrefu mpaka kutoa taarifa kwa coastal guard nadhani walikuwa washazoea.
 
😂😂😂😂😂
ime bidi nicheke kwenye conclusion yako mzee ume andika shudu mixa pumbu sorry pumba
Pole sana ila ukweli mchungu sana, mnaamini kikosi Cha Wanamgambo kuivamia Russia kabisa tena kikiwa km 450 kutokea Moscow
 
bado haijustify upupu ulio uandika hapa yaani kupotea kwa chombo baharini unataka kuhusisha teknolojia ya urusi? kwamba walihack system ya kale kadude ama?
na iyo ishu ya hao wana mgambo uliona NATO ama Us wakitia neno lolote kwa siku ya jana? hawakua na papara kuweza kushoboka na walicho kifanya wagner maana it was a bait sasa ww mmatumbi unakuja na conclusion zako baada ya kushiba magimbi na ulanzi
 
Muda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana.

Kwa nini, matukio hayo yafuatane kwa karibu?

Kwa nini tukio la kupotea kwa chombo Cha TITAN linaezwa na tukio la Wagner kutaka kuivamia Urusi?

Mawasiliano kwenye chombo Cha Titan yalipotea ghafla tena kwa kasi ya ajabu, kwa nini tena kikiwa na teknolojia za juu sana za mawasiliano?

Kupotea kwa chombo Cha Titan , kunataka kufanana na kupotea ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea 2014 , ndege ile ilikuwa na mawasiliano ya juu kabisa?

Hitler alishindwa kuifikia Moscow akiwa na jeshi la Askari wasiopungua milioni 10 alipigwa kwa nini Wagner wahisi ni jambo rahisi hivyo?

Baada ya kutafakari kwa kina juu ya hayo nimegundua Siri kubwa imejificha tena sana. Kwa sababu:

Anayeongoza kwa teknolojia za kisasa kabisa za chini, baharini na Angani ni......

Tusimchukulie poa Russia , ana Siri za kutisha sana
Nakubali,inawezekana Kuna kitu kimefichwa,documentary ya ndege ya MH370 nimeangalia mwanzo mwisho it's serious inshu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ime bidi nicheke kwenye conclusion yako mzee ume andika shudu mixa pumbu sorry pumba
Wanaotaka kwenda Anga za mbali, Engine lazima wakamgongee hodi Putin.

Mwenye engine za kurusha vyombo angani Toka duniani ni Urusi tu.
20230331_225229.jpg
 
Muda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana.

Kwa nini, matukio hayo yafuatane kwa karibu?

Kwa nini tukio la kupotea kwa chombo Cha TITAN linaezwa na tukio la Wagner kutaka kuivamia Urusi?

Mawasiliano kwenye chombo Cha Titan yalipotea ghafla tena kwa kasi ya ajabu, kwa nini tena kikiwa na teknolojia za juu sana za mawasiliano?

Kupotea kwa chombo Cha Titan , kunataka kufanana na kupotea ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea 2014 , ndege ile ilikuwa na mawasiliano ya juu kabisa?

Hitler alishindwa kuifikia Moscow akiwa na jeshi la Askari wasiopungua milioni 10 alipigwa kwa nini Wagner wahisi ni jambo rahisi hivyo?

Baada ya kutafakari kwa kina juu ya hayo nimegundua Siri kubwa imejificha tena sana. Kwa sababu:

Anayeongoza kwa teknolojia za kisasa kabisa za chini, baharini na Angani ni......

Tusimchukulie poa Russia , ana Siri za kutisha sana
Namimi nimegundua siri hapa iliyojificha.

Wewe ni mchawi.
 
Week hii umeingiza kiasi cha fedha? Kwa nn usitafakari na ku meditate Mambo yanayokuhusu?
 
Kama kawaida wabongo kujifanya wachambuzi mabobevu.

Shenzi kabisa. Unaacha kuchambua njaa ya familia yako na Taifa kwa ujumla kujifanya mchambuzi wa urusi
Nimecheka kwa sauti jamani haa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
 
Back
Top Bottom