Hapa kuna upendo au natumika nifungueni macho

Pole dear hupendwi na ana maisha yake huyo...
Mm huo upuuzi wa kuniweka njia panda tangu nmejitambua siutaki mambo ya kukaa unawaza na kuwazua juu ya mtu hapana kwakweli.
Yani mwanaume akitaka aeleweke kama nnavyoeleweka mimi! Hunyooki basi fanya maisha yako hatukuja duniani kuteseka na maisha uje tena kutesekea na watu wazima ambao hawataki kunyoosha maelezo na vitendo.
 
Sawa mama
 
Miezi 6 !! You are both still dusting it off ! So achana na ushauri/judgement and follow the go ! Review it in a year or so
 
Bila shaka ameangua kilio baada ya kupiga kwenye mshono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…