Nampendamilele
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 427
- 653
- Thread starter
-
- #61
Nimempa muda mkuu Ngoja tuone ikifika mpk mwezi 12 nitajua mbivu na mbichiAll those red flags na unamtegemea akuoe😂😂anyway kwa streets ukionyesha desperation you’re toast.
Hongera mkuuMi sina shida baby!
Huyo aliyekutoa ndiye angekuoaSina hiyo mkuu walikula nyenyere
Amekufa vipi hapo mkuuHuyo aliyekutoa ndiye angekuoa
Hahahah mkuu mbona mwanzoni huwa mna mbwembwe za ndoa tunajua hiyo ni gia tuHilo swali lako ilibidi umuulize kabla hajakuvua, walau angelijibu hata kama ni kwa uongo.... kwa sasa sahau ushaliwa.
Hebu subiri kidogo, huyo unayetangaza Nampendamilele ndo yeye?
Kweli kabisA hana fyucha nimeona mkuutuliza akili mkuu kiherehere chakutaka ndoa kitakuponza,maana kuna umri flani mwanamke akishafika anapata stress za ndoa .huyo jamaa anavyoonyesha hanafyucha na wewe
Au familia yake iko mbali na yeye! Miezi sita kwa mwanaume aliye serious ni mingi! Mwingine angekuwa ashakwambia ukamsaidie kufanya usafi!Hilo halina shaka dear tunaongea wakati wote hata iwe usiku wa saa 9 bado sijaona tofauti hapo
Nikubali basi nikupe huba mchumba...Hongera mkuu
Ingawa unajua kabisa mtu hana malengo na wewe na bado unampa muda.Kuachana nae kwa sasa hapana labda nikipata mbadala unaoeleweka saivi nangoja angalau tufike mwaka 1 halafu nitafanya uamuzi
Nampa muda tena
Jamaa ni mjanja sana ujueMiezi sita hujui kwake hii ni taa nyekundu tayari kwako anaweza akawa mme wa mtu au anakutumia tu anza kuchukua hatua ikiwemo kutaka kujua kwake na angalau ata ndugu yake mmoja umjue
Hapo sijafahamu mkuuAu familia yake iko mbali na yeye! Miezi sita kwa mwanaume aliye serious ni mingi! Mwingine angekuwa ashakwambia ukamsaidie kufanya usafi!
Hebu fanya kuja automaticInaweza kuwa
Ndani ya mada: mchepuko hatafutwi anakujaga automatically
Nilikuwa naomba ila sasa nimeacha nature ichukue uamuzi wakeMuulize Mungu hilo swali akikujibu basi ila huwezi jua moyoni mwake unaweza muacha ukabaki single ukachezewa nawapitao ukipata mtu sahihi ukampenda mwombe Mungu ammbadilishe vile unvyotaka.
Ila kama si wako hutoweza kumbadilisha.
Endelea kutuma maombi mkuu labda kuna mtu atakuonea hurumaHebu fanya kuja automatic